tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Akili ndogo na IncompetenceNimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo.
Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
View attachment 2858077
View attachment 2858068
View attachment 2858069View attachment 2858071
Kuna mbinu mbalimbali ambazo huwa zinatumika kuepusha hizo kero mfano wakati wa kufunga mkanda wa chini, sehemu ambayo bomba ama p-trap inapita nondo za juu huwa zinapindwa kuja kuumana na nondo za chini kutengeneza U-shape na ktk kumwaga zege hiyo sehemu inaachwa wazi, baadae ukija kuset mtego wako unaupachika tu na kuweka mortar.Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo.
Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
View attachment 2858077
View attachment 2858068
View attachment 2858069View attachment 2858071
Hapana structure hausiki na hivyoMi huwa nadhani hii ni kazi ya structural engineer kuonyesha michoro ya maji, umeme, n.k. Kisha Civil engineer anapojenga au kusimamia anafuata vielelezo na kuweka kila kitu kama michoro inavyoonyesha au nakosea?