MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
- Thread starter
-
- #21
Unataka nitoe mifano za miradi ilizocost 600bns hiyo haipo!Na nikitoa mifano hai, it will be as good as exposing identities!Mifano ambayo unashindwa kuitaja!
Kama unaongelea alichozindua leo kama mfano. Utakuwa haujui maana ya copy and paste!
Wanaweza kuwachanganya wanataaluma na wengine!Hii ni kwa sababu tunawahitaji wengine zaidi kuliko wanataaluma maana hizi ni shughuli zao za kila sikuExperience matter, utapata wapi mbongo mwenye experience ya dams design and construction nchi hii bila kugusa wanataaluma ambao wanafanya kazi ndani na nje, hata kama wapo ni wachache sana na ni nani anawajua. Kazi zenyewe zinatokea mara moja kwa miaka 20 labda.
Itabidi ujifunze jinsi Hydro Dams zinavyofanya kazi.Yaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Its not true, this is not viable economically!Unless you arent familiar with the costs associated with water lifting! Mabwawa yetu yote Kidatu, Kihansi, Mtera hayarudishi maji yaliyotumika bwawani!(I declare interest, that is "part" of my field)!. Hata hili halina ulazima huo kwani mto RUFIJI una maji mengi sana pengine kuliko mito yote inayotiririsha maji baharini, hakuna sababu ya msingi ya kufanya re-cycle ya maji!Itabidi ujifunze jinsi Hydro Dams zinavyofanya kazi.
Kiwango cha maji kikipungua, yale maji yanayopita yanarudishwa tena bwawani kuendelea kuzalisha umeme.
Baada ya muda utakuta hakuna maji yanayotoka kwenye bwawa.
Sio wote...Tatizo Injinia wakibongo wengi ni Copy and Paste likija suala la Designing...
Ila Magufuli anaeeza wafikiria katika ufalme wa Bwala la St. GEORGE
Wazungu nao buana....Three Dam Gorge China au New project in Ethiopia zote zina hizo longolongo. Tuamue tuIn general huu mradi ulikwama kwa sababu za kimazingira zaidi, na si kiuchumi wala siasa. Kuna ripoti nilisoma mahali kwamba financiers wa Kizungu waligoma kwa sababu mradi ulikuwa unapunguza kiwango cha maji kwa watumiaji wa chini (downstream users) ambao wako hasa wilayani Rufiji.
Waape Mara ngapi?Ndio maana kuna haja ya viapo
Nakubaliana na wewe!Hawa jamaa wanatuchezea shere tu ili tusijikwamueWazungu nao buana....Three Dam Gorge China au New project in Ethiopia zote zina hizo longolongo. Tuamue tu
Kiapo cha kihandisi pekee nadhani hakitoshi, kinatakiwa na cha vitu maalum kama huu mradiWaape Mara ngapi?
Utafikiri hiyo mitambo ya kufua umeme itakua inakunywa hayo maji kama dieselYaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Kama Nicolas Tesla angekuwa hataki hajulikane labda leo tungekuwa bado tunatumia vibatari!!Unataka nitoe mifano za miradi ilizocost 600bns hiyo haipo!Na nikitoa mifano hai, it will be as good as exposing identities!
Kabisa. Nadhani tunahitaji kuendelea tu na ujenzi bila kuwasikiliza sanaWazungu nao buana....Three Dam Gorge China au New project in Ethiopia zote zina hizo longolongo. Tuamue tu
Una akili wwYaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Kwan lazima wapate hayo maji ya huo mto, si tunatandaza mabomba tunawasambia maji frm any source...haawa watu wanajuaga sna kutusimamishaYaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
That is a huge leap for black mankind!! Let's not raise our hopes too high. Africa's power giant is South Africa with generation capacity of 50GW which is 25 times what we are presently generating. Despite such huge capacity, South Africans still face blackouts-albeit to a small extent.The whole of Stiegler's potential generation will not even make our total capacity exceed 7G....Then we can become the African power giant. Wanaharakati wa mazingira watatushambulia lkn faida ni maradufu kulikoni hasara
That is a huge leap for black mankind!! Let's not raise our hopes too high. Africa's power giant is South Africa with generation capacity of 50GW which is 25 times what we are presently generating. Despite such huge capacity, South Africans still face blackouts-albeit to a small extent.The whole of Stiegler's potential generation will not even make our total capacity exceed 7G.