Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

Yaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Ilikua kama ishu ya smelta kuwa haiwezekani tatizo la umeme na waimba pambio wakashikia bango
 
Mkuu umesahau suala nyeti la bianuwai ya Wanyama na mimea (gene pool) ktk pori la Selous. Nina uhakika wataalamu wetu wa ndani watakuja na mipango mizuri ya jinsi ya kuepusha athari juu wanyama na mimea na hatimae mradi utajengwa. Then we can become the African power giant. Wanaharakati wa mazingira watatushambulia lkn faida ni maradufu kulikoni hasara
kwa hapa mimi si mgeni bali sijafika kabisa! lakini issue matope inakuwaje huu tuliko kwenye mabwawa ya umwagiliaji yanahizo changomoto ni vizuri mradi ukaangalia nikwa jinsi gani tope pia zinaweza kutolewa (kama hili linahusika) hapa mimi mgeni sijui kitu hapa
 
Weka na adhabu ambayo mtastahili iwapo ujenzi utakuwa chini ya kiwango ili tusije kulaumiana baadaye,maana hofu kubwa ni wapiga dili,hawa ndio wametufikisha hapa na kutufanya tusiaminiane.

Maengineer wapo...ninkubborow experience.kidogo na usafi uliopo.state house
 
kwa hapa mimi si mgeni bali sijafika kabisa! lakini issue matope inakuwaje huu tuliko kwenye mabwawa ya umwagiliaji yanahizo changomoto ni vizuri mradi ukaangalia nikwa jinsi gani tope pia zinaweza kutolewa (kama hili linahusika) hapa mimi mgeni sijui kitu hapa

Ndio maana wanaolima kwe vyanzo wanazuiliwa au kuhamishwa, kilimo ndi chanzo cha tope. Hifadhi uoto wa asili. Mabwawa yana flush tope @ baada ya muda fulani.
 
Kama lipi walilowahi kujenga au unataka lije lipasuke liue watu wetu wa Rufiji
 
Sio wahandisi wote ni copy and paste, kuna wahandisi wengi tu wazuri sana
Uhandisi wenyewe ndio ule wa hostel za UDSM? Muacheni mh Rais atutafutie wahandisi wenye uzoefu wao, msitulee balaa bure!
 
IMG_0636.JPG
r

stiegler_s_gorg_c9am_tanzania.jpg

stiegler's gorge tanzania - Google-Suche:
Approach to funding. Tujadili hili. PPP or twende far east?!
 
Kwani gesi si tuliambiwa inatosha kuzalisha umeme nchi nzima na tukauza nje imekuaje tena
 
Hamuwezi.

Hiyo mitambo utaona design wewe utatengenezewa wapi?

Fanya mchezo na kuunda turbines?

Ngoja waje wenye teknolojia wewe ukafanye kazi kwao.

Sindano ya kushonea nguo huna utaalamu utaweza kuunda mtambo wa umeme wa megawatts zaidi ya 2,000?

Tuundie sample (prototype) ya megawatt moja tu tuione. Wacha porojo.
 
Approach to funding. Tujadili hili. PPP or twende far east?!
PPP imesababisha mpaka leo mradi hau take - over ujue!Hapa ni lazimaserikali ijikunje yenyewe!It may cost less than 2 tril but it will last for years na break even itakuwa ndani ya miaka miwili tu
 
Hamuwezi.

Hiyo mitambo utaona design wewe utatengenezewa wapi?

Fanya mchezo na kuunda turbines?

Ngoja waje wenye teknolojia wewe ukafanye kazi kwao.

Sindano ya kushonea nguo huna utaalamu utaweza kuunda mtambo wa umeme wa megawatts zaidi ya 2,000?

Tuundie sample (prototype) ya megawatt moja tu tuione. Wacha porojo.
Nani kakuambia mitambo inatengenezwa hapa??Mitambo inanunuliwa, sio kila taifa lina uwezo wa kutengeneza sindano (hata kama linaweza) maana unaangalia unafuu kati ya kutengeneza na kununua ni jambo gani lina faida! Kujenga bwawa kunawezekana kufanywa na wahandisi wa kitanzania. Kumbuka bwawa sio turbine!
 
  • Thanks
Reactions: Ftc

Mtafanya chini ya uangalizi wa watengeneza mitambo.

Kazi utapata usijali, lakini wenyewe bado kwa project kubwa kama hiyo.

Tazama barabara tu tunazotengeneza wenyewe na zile za makampuni ya nje. Ni tofauti.

Tanzania bado kwa hilo, tuna miaka kama mia mbili ya kujifunza walipo wenzetu sasa hivi.
 
PPP imesababisha mpaka leo mradi hau take - over ujue!Hapa ni lazimaserikali ijikunje yenyewe!It may cost less than 2 tril but it will last for years na break even itakuwa ndani ya miaka miwili tu

PPP siyo inayosababisha hayo.

Brazil walikuwa tayari kuja kuanza kazi, utawala wao ulipobadilika na priorities zao zikabadilika. Kumbuka hilo.
 
Mtafanya chini ya uangalizi wa watengeneza mitambo.

Kazi utapata usijali, lakini wenyewe bado kwa project kubwa kama hiyo.

Tazama barabara tu tunazotengeneza wenyewe na zile za makampuni ya nje. Ni tofauti.

Tanzania bado kwa hilo, tuna miaka kama mia mbili ya kujifunza walipo wenzetu sasa hivi.
Wenzetu wamejifunza haya kwa miaka zaidi ya 1000 tena kwa kufanya makosa makubwa makubwa!Sisi mpk sasa nadhani tumekimbia sana ndio maana nina imani tunaweza kufanya!Ni kweli kwa mitambo ni lazima kampuni husika ije maana hata ulaya ukinunua mtambo hata kama kampuni yako ina ma-engineer hodari bado watengenezaji ni lazima waje kusimamia kazi ya ufungaji!Hii ni kwa sababu ya liability (sina hakika kama ndio uwajibikaji).
 
Hamuwezi.

Hiyo mitambo utaona design wewe utatengenezewa wapi?

Fanya mchezo na kuunda turbines?

Ngoja waje wenye teknolojia wewe ukafanye kazi kwao.

Sindano ya kushonea nguo huna utaalamu utaweza kuunda mtambo wa umeme wa megawatts zaidi ya 2,000?

Tuundie sample (prototype) ya megawatt moja tu tuione. Wacha porojo.
Kabisa. Hatuwezi fanya majaribio mradi mkubwa hivyo. Hawa wabongo wapewe vihydroplants vya 1-20MW wajifunze kwanza. Sehemu ni nyingi za kufanya hivyo.
 
Sio lazima wawe wanataaluma hata wanafunzi wao wanaweza kufanya vzr kabisa

Tunashukuru tulijenga ila usanifu na upembuzi saknifu ulianza takriban miaka 20+ nyuma ukihusisha multinational companies and Agencies. Ujenzi ngoja niperuzi kdg.
 
Tatizo Injinia wakibongo wengi ni Copy and Paste likija suala la Designing...
Ila Magufuli anaeeza wafikiria katika ufalme wa Bwala la St. GEORGE

Internationally recognised, experienced consultant must assist though we can use local contractors!
 
Nimesikia leo Rais amekutana na wahandisi kujadili hili Bwawa.
 
Back
Top Bottom