Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

Mimi ni mzalendo sana ila nawajua hawa. Hamna kitu. Tutapoteza pesa tukiwaamini hawa. Hebu nipe mfano wa bwawa walilojenga hao wahandisi wa kitanzania? Hatuwezi kufanya majaribio kwa pesa za umma. Wasubiri tuwe matajiri ndipo tuwape hizo fursa za kujaribu na kukosea.
Ha ha ha bro nina kaka alikuwa ethiopia kwenye gibe 3. Aliakuwa anahusika na maswala ya brasting. Jamaa amegraduate first batch ya mining engineer mlimani. Sasa hivi yuko zake quatar anapiga pesa.

Tunasomesha watu wanatumikia mataifa ya watu na sio tanzania kwa ajili ya binadam kama wewe
 
Mimi ni mzalendo sana ila nawajua hawa. Hamna kitu. Tutapoteza pesa tukiwaamini hawa. Hebu nipe mfano wa bwawa walilojenga hao wahandisi wa kitanzania? Hatuwezi kufanya majaribio kwa pesa za umma. Wasubiri tuwe matajiri ndipo tuwape hizo fursa za kujaribu na kukosea.
Daaah Unanichekesha sana,but charity begins at home mi nadhani kuwa huu ni wakati mwafaka wa kuanza kuwaamini watalamu wetu na kufaidi matunda ya elimu zao
 
Hakika hili ni jambo la heri. Miradi kama hii itasaidia sana kukuza uchumi wa nchi.
 
Watanzania mmepewa fursa ya kuonyesha uwezo wenu, nendeni sasa mkadhihirishe
 
Back
Top Bottom