Mimi ni mzalendo sana ila nawajua hawa. Hamna kitu. Tutapoteza pesa tukiwaamini hawa. Hebu nipe mfano wa bwawa walilojenga hao wahandisi wa kitanzania? Hatuwezi kufanya majaribio kwa pesa za umma. Wasubiri tuwe matajiri ndipo tuwape hizo fursa za kujaribu na kukosea.