Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Mkuu kweli..nimefanya kazi na walimuNyie mnaowatukana walimu mnalima viazi ni uongo
Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa kuwa watu walishatuma maombi zaidi y mara tatu hususani waliomaliza huko nyuma hahuna haha ya kutuma upya maombi
3.mnapopanga vituo zingatieni maombi ya walioomba mtu anaomba shule A anapelekwa Z
4.mchakato wa kutoa majina usichukue mda mrefu kama huko mwanzo
5.tunajua mtaanza na ndugu zenu ila msisahau walimu waliomaliza 2015
Nawasilisha

Yaani Mimi nilikosa ajira kwa kuwa nimehitimu 2015. Walichukua intake ya 2018,2019 na 2020. Wanaotoa nafasi za ajira ila kigezo ni uwe umehitimu 3 years ago. Huu ni uonevu na ni unfair distribution of wealth. Kwa nini hao nao wasisote kama Sisi? Hatukupenda kutoajiriwa baada ya graduation, mfumo haukutuoa Ajira as a result wanatuengua eti tumemaliza siku nyingi Umri ni Mkubwa wa Ajira. Wenye Ajira wabanwe kwa huu ubaguzi.Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa kuwa watu walishatuma maombi zaidi y mara tatu hususani waliomaliza huko nyuma hahuna haha ya kutuma upya maombi
3.mnapopanga vituo zingatieni maombi ya walioomba mtu anaomba shule A anapelekwa Z
4.mchakato wa kutoa majina usichukue mda mrefu kama huko mwanzo
5.tunajua mtaanza na ndugu zenu ila msisahau walimu waliomaliza 2015
Nawasilisha
Kada gani chifuYaani Mimi nilikosa ajira kwa kuwa nimehitimu 2015. Walichukua intake ya 2018,2019 na 2020. Wanaotoa nafasi za ajira ila kigezo ni uwe umehitimu 3 years ago. Huu ni uonevu na ni unfair distribution of wealth. Kwa nini hao nao wasisote kama Sisi? Hatukupenda kutoajiriwa baada ya graduation, mfumo haukutuoa Ajira as a result wanatuengua eti tumemaliza siku nyingi Umri ni Mkubwa wa Ajira. Wenye Ajira wabanwe kwa huu ubaguzi.
Hivi tecno ndio inakua inasauti ya juu hivi.UNAPOZUNGUMZA NA KAKA ZAKO JARIBU KU_BEHAVE, MIMI NI DRIVER BY PROFFESIONAL KUTOKA HAPO N. I. T 2011.
NA ACHA KULIA LIA DUNIA HAINA HURUMA. ETI OOH NIMEMALIZA ZAMANI. KIGEZO CHA MTU KUPATA AJIRA NI VYETI VYAKE NA UWEZO WAKE, SIYO MWAKA WA KUMALIZA NDUGU.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
kazi ya serikali sio kuajiri. Serikali uajiri pale inapokua na uhitaji wa rasilimali watu.Yaani Mimi nilikosa ajira kwa kuwa nimehitimu 2015. Walichukua intake ya 2018,2019 na 2020. Wanaotoa nafasi za ajira ila kigezo ni uwe umehitimu 3 years ago. Huu ni uonevu na ni unfair distribution of wealth. Kwa nini hao nao wasisote kama Sisi? Hatukupenda kutoajiriwa baada ya graduation, mfumo haukutuoa Ajira as a result wanatuengua eti tumemaliza siku nyingi Umri ni Mkubwa wa Ajira. Wenye Ajira wabanwe kwa huu ubaguzi.
Business Administration BOT walitutema kwa Umri was Degree. Hawakutaka waliomaliza 2015-2017
Business Administration BOT walitutema kwa Umri was Degree. Hawakutaka waliomaliza 2015-2017
Siyo sauti tuu, inamsuli pia wa budesti kukufanya ufike kilele shwaiinHivi tecno ndio inakua inasauti ya juu hivi.
Mkuu kumaliza zamani kwa sehemu kubwa kunahusishwa na uzoefu/experience. Huwezi sema ww dereva wa mwaka 2011 uwezo wako uwe sawa na dereva aliyemaliza masomo yake mwezi march.2022. ikiwa wakati wote ulikuwa ukiifanyia kazi taaluma yako.Wivu upi chifu? NI TAASISI UCHWARA AMBAYO INAWEZA KUMUAJIRI MTU KWA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI.
LABDA ANGESEMA AMEANZA KAZI ZAMANI HIVYO ANA EXPERIENCE YAKUTOSHA, ILA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI NI CHA KIPUUUZI.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa chifu, ila uzoefu unakuja kwa ku practice ulichosomea.Mkuu kumaliza zamani kwa sehemu kubwa kunahusishwa na uzoefu/experience. Huwezi sema ww dereva wa mwaka 2011 uwezo wako uwe sawa na dereva aliyemaliza masomo yake mwezi march.2022. ikiwa wakati wote ulikuwa ukiifanyia kazi taaluma yako.
Ajira za ualimu na afya zilikuwa ni ajira za moja kwa moja kutokana na idadi kubwa ya mahitaji huduma zao kwa taifa. Huu mfumo tokea uwe disturbed miaka ya hivi karibuni serikali haijawahi kutoa tamko la moja kwa moja kuwa serikali haitakuwa na ajira za moja kwa moja kwa hao waalimu na watumishi wa afya wataajiriwa interview kwa kufuata vigezo vya uzoefu,gpa,n.k kama ilivyo kwa kada nyingine.
Kitendo cha serikali kutokutoa kauli yoyote juu ya kusitisha ajira za moja kwa moja serikalini na kitendo cha watumishi wa elimu na afya kupangiwa hata kwenye vituo vya kazi tofauti na vile ambavyo waliviomba kuna ashiria kuwa zile ajira za moja kwa moja bado zipo na lile tangazo la kuwataka waombe ajira kwa barua ni kutafuta uthibitisho tu ili kujua ni Nani yupo teyari kuitumikia serikali lakin kujua idadi ya wahitaji ajira.
Ajira za ualimu na afya zinasemamiwa na WIZARA moja kwa moja tofauti na ajira nyingi za kule ajira portal ambazo unakuta zinasimamiwa na taasisi husika mfano ajira za mashirika,halmashauri,n.k
Walimu wengi ni majunguMkuu kweli..nimefanya kazi na walimu
Kuna kipindi tulikuwa tunamark Mock ya mwanza..
daaah. Hii kada unapojisimamia unafanyiwa fitina tena na walimu wenzio.
nilipiga chini..nipo nalima huku mapolini mkuu.. nipo juu ya mawe nachat kupata mtandao
Lima viazi mkuuYaani Mimi nilikosa ajira kwa kuwa nimehitimu 2015. Walichukua intake ya 2018,2019 na 2020. Wanaotoa nafasi za ajira ila kigezo ni uwe umehitimu 3 years ago. Huu ni uonevu na ni unfair distribution of wealth. Kwa nini hao nao wasisote kama Sisi? Hatukupenda kutoajiriwa baada ya graduation, mfumo haukutuoa Ajira as a result wanatuengua eti tumemaliza siku nyingi Umri ni Mkubwa wa Ajira. Wenye Ajira wabanwe kwa huu ubaguzi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wataajiliwa 2033Alafu kuna madogo wamekuja field last month nao wanasomea ualimu first year 2022
Cha ajabu sasa eti ni baed history kiswahili
Yaan nawangalia naona hawa watoto ni vichaa nn
Walimu wengi viwango vyao vya ku reason viko chini mno..yani ukiwa na hela usije jaribu kusomesha mwanao shule za kata..utatengeneza felia..mana walimu wao ni felia.POINTLESS, WALIMU MNASHIDA SANA HIVI KADA NYINGINE KWANI UWA WANAAJIRIWA KWA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI? AU WANAAJIRIWA KWA COMPETENCE NA VIGEZO VYA MTU? YAANI KUMALIZA ZAMANI NDIYO IWE GUARANTEE YA WEWE KUAJIRIWA? ULIONA WAPI? ACHA KUTAFUTA HURUMA WITH FAKE REASONING. NJOONI AJIRA PORTAL HUKU MUONE KAMA KUNA HIVYO VIGEZO UCHWARA VYA "ETI MIMI NIMEMALIZA ZAMANI".. WATU WANAANGALIA UNA NINI SIYO UMEMALIZA LINI NA INGEPENDEZA SERIKALI IWEKE NA INTERVIEW KWENYE AJIRA ZENU. TUPATE COMPETENT TEACHERS SIYO WATU WANAOTAKA MISHAHARA KWA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI.
]
Niletee Mbegu na Shamba unioneshe. Mimi ninaishi Masaki hapa ni Lami tuu. Nitalima juu ya Lami?Lima viazi mkuu
Secretariat angalau wako fair kwenye hii. Husema usizidi Umri wa miaka 45. Lakini Mashirika ndio uwe umemaliza 3 years back.Daaaaaah wawe wanaacha fair competition haijalishi mtu kamaliza lini.
We jamaa mbona mshamba sana..no wonder huna ajira hiyo ya ualimu mpaka sasa.Hakuna professional ya u driver hiyo hiyo hata hausegirl wanaweza ? Kama unprofessional umefanya wapi desertation?
Umedifend kwa mda gan na vyuo vingap?
Nan alikuwa supervisor wako?
Ni wap ulipoandika journal yeyote?
niambie hata school Dean wako alikuwa nan
Kua