Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa kuwa watu walishatuma maombi zaidi y mara tatu hususani waliomaliza huko nyuma hahuna haha ya kutuma upya maombi
3.mnapopanga vituo zingatieni maombi ya walioomba mtu anaomba shule A anapelekwa Z
4.mchakato wa kutoa majina usichukue mda mrefu kama huko mwanzo
5.tunajua mtaanza na ndugu zenu ila msisahau walimu waliomaliza 2015
Nawasilisha
Hawa wakiajiriwa inabidi warudi chuo kupigwa msasa kwa miezi hata 2 ndio wapangiwe maana stress zimeharibu kabisa ule uwezo wao waliokuwa nao awali..

Sasa ni watu wazima na wako focused masuala mengine kabisa.
 
Mtu amemaliza form four mwaka 2000 afu anaajiliwa 2022[emoji3]
 
Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
 
Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
Yule Mbunge ni Kichaa tu,, hizi mambo za kujitolea haimaanishi kwamba mtu ni mzalendo sana au anaweza sana kazi.. sema njaa tu ndo zinawafanya hvyo.. hz mambo ndo zinasababiaha watu kichomekana kiholela.
Me nashauri wafungue maombi, vijna waombe na Ajira zitoke kulingana na vigezo vinavyohitajika
 
Kuna wengine wanasema ajira kigezo kiwe GPA ya 3.0 daah [emoji16]

]
 
Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
Tatizo system ya Tamisemi haina system ya ku-capture waliojitolea, just why last year walikosider mwaka wa kuitimj
 
Nani kakwambia ukiwa na GPA kubwa wewe ni mwalimu bora? Unadhani ualimu ni kufundisha tu?
Hata Kama wekiweka GPA kubwa bdo wapo watakosa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi haijawahi kubalance kw kila mmoja
 
POINTLESS, WALIMU MNASHIDA SANA HIVI KADA NYINGINE KWANI UWA WANAAJIRIWA KWA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI? AU WANAAJIRIWA KWA COMPETENCE NA VIGEZO VYA MTU? YAANI KUMALIZA ZAMANI NDIYO IWE GUARANTEE YA WEWE KUAJIRIWA? ULIONA WAPI? ACHA KUTAFUTA HURUMA WITH FAKE REASONING. NJOONI AJIRA PORTAL HUKU MUONE KAMA KUNA HIVYO VIGEZO UCHWARA VYA "ETI MIMI NIMEMALIZA ZAMANI".. WATU WANAANGALIA UNA NINI SIYO UMEMALIZA LINI NA INGEPENDEZA SERIKALI IWEKE NA INTERVIEW KWENYE AJIRA ZENU. TUPATE COMPETENT TEACHERS SIYO WATU WANAOTAKA MISHAHARA KWA KIGEZO CHA KUMALIZA ZAMANI.
]
Kwani kutoa maelezo bila abusive emotions haiwezekani?
 
Alafu kuna madogo wamekuja field last month nao wanasomea ualimu first year 2022

Cha ajabu sasa eti ni baed history kiswahili

Yaan nawangalia naona hawa watoto ni vichaa nn
Huma akili ww,tuambie hao walio Soma sijui science huko wametengeneza nn hapa nchini?
 
Back
Top Bottom