Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Hawa wakiajiriwa inabidi warudi chuo kupigwa msasa kwa miezi hata 2 ndio wapangiwe maana stress zimeharibu kabisa ule uwezo wao waliokuwa nao awali..

Sasa ni watu wazima na wako focused masuala mengine kabisa.
 
Mtu amemaliza form four mwaka 2000 afu anaajiliwa 2022[emoji3]
 
Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
 
Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
Yule Mbunge ni Kichaa tu,, hizi mambo za kujitolea haimaanishi kwamba mtu ni mzalendo sana au anaweza sana kazi.. sema njaa tu ndo zinawafanya hvyo.. hz mambo ndo zinasababiaha watu kichomekana kiholela.
Me nashauri wafungue maombi, vijna waombe na Ajira zitoke kulingana na vigezo vinavyohitajika
 
Kuna wengine wanasema ajira kigezo kiwe GPA ya 3.0 daah [emoji16]

]
 
Kuna mbunge amesema waliojitolea wapewe kipaumbele zaidi kwenye hizo ajira au hamjamsikia?
Tatizo system ya Tamisemi haina system ya ku-capture waliojitolea, just why last year walikosider mwaka wa kuitimj
 
Nani kakwambia ukiwa na GPA kubwa wewe ni mwalimu bora? Unadhani ualimu ni kufundisha tu?
Hata Kama wekiweka GPA kubwa bdo wapo watakosa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii nchi haijawahi kubalance kw kila mmoja
 
Kwani kutoa maelezo bila abusive emotions haiwezekani?
 
Alafu kuna madogo wamekuja field last month nao wanasomea ualimu first year 2022

Cha ajabu sasa eti ni baed history kiswahili

Yaan nawangalia naona hawa watoto ni vichaa nn
Huma akili ww,tuambie hao walio Soma sijui science huko wametengeneza nn hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…