Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Hapa kweli maendeleo hayana chama.
 
Mm naona kidog hiyo ni nzur coz itasaidia waliopata below 3 bax anakua hana tumain la ajila hivyo atapambana na maisha mengine
Kamati ya roho mbaya.kwani lengo ni watu kupata ajira au wakate tamaa kuwa hawana sifa.Rais wako mwenyewe ameshauri waajiri wasiangalie vyeti tu bali mtu ana nini cha ziada.uliwahi kujua kuwa kikwete alikuwa na gpa ya 2.5na alikuwa Rais wako.
 
Sasa kujua. Ana nn Cha ziada atajulikanaje maana Ualimu hakuna Usaili kule..
 
Mwaka wa kuhitimu sio kigezo!! Waweke vigezo sahihi mambo ya sijui 2015 hayana mantiki.

Kwanza wahitimu wa toka 2015 mpaka Leo kuwa bado unategemea ajira ya serikali ni ajabu!!!
 
Hapa nimekuelewa. Safi kwa analysis yako.
 
nchi ngumu sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…