Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019

Ukiona mwanafunzi wa kata kafaulu..tambua nguvu kubwa katumia mwanafunzi na mzazi..hasa tushweni kununu vitabu na matilio mbalimbali..lakini sio nguvu ya mwalimu.

Je unajua ni wangapi ambao wanafeli 4m4 kwa kupata 4 na 0.

Pia tambua serikali yenye imejaa siasa hadi kwenye elimu..

Ni mwendo wa kutanua magoli ili wafungaji wabovu wafunge hata kwa kubutua pembeni.

Walimu wengi ni zao la failed educational system..unategemea watatoa product gani?

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
Hapa kweli maendeleo hayana chama.
 
Mm naona kidog hiyo ni nzur coz itasaidia waliopata below 3 bax anakua hana tumain la ajila hivyo atapambana na maisha mengine
Kamati ya roho mbaya.kwani lengo ni watu kupata ajira au wakate tamaa kuwa hawana sifa.Rais wako mwenyewe ameshauri waajiri wasiangalie vyeti tu bali mtu ana nini cha ziada.uliwahi kujua kuwa kikwete alikuwa na gpa ya 2.5na alikuwa Rais wako.
 
Sasa kujua. Ana nn Cha ziada atajulikanaje maana Ualimu hakuna Usaili kule..
 
Mwaka wa kuhitimu sio kigezo!! Waweke vigezo sahihi mambo ya sijui 2015 hayana mantiki.

Kwanza wahitimu wa toka 2015 mpaka Leo kuwa bado unategemea ajira ya serikali ni ajabu!!!
 
Ukiona mwanafunzi wa kata kafaulu..tambua nguvu kubwa katumia mwanafunzi na mzazi..hasa tushweni kununu vitabu na matilio mbalimbali..lakini sio nguvu ya mwalimu.

Je unajua ni wangapi ambao wanafeli 4m4 kwa kupata 4 na 0.

Pia tambua serikali yenye imejaa siasa hadi kwenye elimu..

Ni mwendo wa kutanua magoli ili wafungaji wabovu wafunge hata kwa kubutua pembeni.

Walimu wengi ni zao la failed educational system..unategemea watatoa product gani?

#MaendeleoHayanaChama

#MaendeleoHayanaChama
Hapa nimekuelewa. Safi kwa analysis yako.
 
Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa kuwa watu walishatuma maombi zaidi y mara tatu hususani waliomaliza huko nyuma hahuna haha ya kutuma upya maombi
3.mnapopanga vituo zingatieni maombi ya walioomba mtu anaomba shule A anapelekwa Z
4.mchakato wa kutoa majina usichukue mda mrefu kama huko mwanzo
5.tunajua mtaanza na ndugu zenu ila msisahau walimu waliomaliza 2015
Nawasilisha
nchi ngumu sana hii
 
Back
Top Bottom