Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Jamani, kumetokea utitiri wa kampuni za bima za magari nyingi sana nchini kiasi kwamba na makanjanja wamepetia humo humo.
Makampuni haya ni mepesi sana kupokea hela kutoka kwetu wateja...lakini mteja lilikukuta la kukukuta la ajali ya gari wanaingia mitini kwa speed ya 5G. Wakitoa vijisingizio visivyo kichwa wala mkia.
Naomba mjimwage kwa kutoa mapovu yote mpaka wajirekebishe huku mkitoa mifano ya makampuni husika!