Wanajiharibia wenyewe bana kwa utapeli!Anza wewe acha kuharibu kazi za watu
Tafuta Co. inayomilikiwa na wasukuma wa chato na wenye kadi ya CCM,itakufaa hio.Wanajiharibia wenyewe bana kwa utapeli!
Kampuni yoyote ya bima ambayo top management ni wachaga inabidi kama unataka uingie nayo mkataba basi ingia nao kwa tahadhari sana i see! Hawapo kwa ajili ya kuja kukuhudumia likikukuta, ngoja nianze kuyataja hayo makampuni sasa....!
Oh, kumbe wanatupiga kirahisi hivi! Sasa naanzia wapi kufuatilia kama hela imeingia NIC?Mkuu suala la bima lina utapeli mwingi sana. lakini nikurekebishe kidogo. Tunalo shirika la bima la Taifa (NIC) moja. Hayo mashirika utitili yaliyo jazana mtaani ni mawakala tu. Utapeli wao unaanzia na uzembe au kutokufuatilia kwa sisi wateja. Wakala wa bima anaweza kukukatia bima na akakupa na stika lakini asipeleke taarifa zako NIC, na kwasababu anajua wateja hatujisumbui kufuatilia basi hela yote uliyolipa kwa ajili ya bima wanaila.