PostGE2025 Wahanga wa MO29 Epukeni kushirikiana na Tume iliyoundwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,612
Reaction score
16,189
GTs,

Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.

Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au huku kesi ikiendelea ICC.

Mtindo huo wa kuwaua mashahidi aliutumia Ruto kuua mashahidi wote mpaka kesi ikakosa ushahidi na ikafutwa.

Wewe kama ni mhanga wa M029 ukiitwa au wakisema njooni mtoe ushuhuda msiendeee kabisa!
 
Yes Lengo la tume ya Samia ni kuwatafuta wenye ushahidi,ili wawamalize na kupoteza ushahidi.
 
Bado sielewi umuhimu wa siasa Huenda nahitaji msaada wa elimu.
 
GTs,

Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.

Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au huku kesi ikiendelea ICC.

Mtindo huo wa kuwaua mashahidi aliutumia Ruto kuua mashahidi wote mpaka kesi ikakosa ushahidi na ikafutwa.

Wewe kama ni mhanga wa M029 ukiitwa au wakisema njooni mtoe ushuhuda msiendeee kabisa!
Zingatieni hili

Ni kwasababu upo Tanzania, inayoongozwa na CCM ambao ni makatili na wanafiki waandamizi.
 
Hilo nalijua, ila ni vile ubongo wangu hautaki kabisa kudeal na hayo mambo, ila najua kabisa
 
Kwa hakika, maana juzi kati nimenunua sukari ya 500 kwa 1000
Si sukari tu, ukisikia flani katekwa, mwili wa flani umeokotwa porini, tambua wale siyo mbuzi. Hilo jambo laweza kukukuta hata wewe.....usiache kupaza sauti.
 
Lakini watekaji na majambazi wa kawaid Wnaweza kutumia nafasi hiyo kufanya matukio yao kisha lawama zote zikaenda kwa Mheshimiwa Rais.

Najaribu kujaradia Comment yangu
 
Tunayo miaka takribani 10 ya utekaji ulioshamiri, watekaji haichukui mali za wahanga hivyo basi si majambazi. Wahanga ni wapinzani, wana CCM walitofautiana na chama chao kimitazamo na rais wa kawaida wasiokubaliana na serekali ya CCM.
 
Naomba kufahamu kuhusu mwenendo wa kesi ya ICC? Nini kinaendelea kwa sasa?

Cc: Mudawote
Mwanasheria wetu kajifanya kumdanganya kujitoa ICC akidhani atapona, ila kisheria kwa sababu uhalifu ulitendeka akiwa mjumbe hivyo hata akiondoka madarakani lazima ICC waje kumkamata (refer kesi ya Rodrigue Duertes rais wa zamani wa Philipine mpaka leo yupo ICC kashikiliwa). Kwa hiyo hata kama akiweza ku survive hii miaka 5, basi lazima ICC waje kumdaka. Kwa ICC sasa hivi kesi iko kwenye expedite kama endapo ataua na kuendelea kuua D09 basi within next year 2026 anaweza kuja kukamatwa
 
GTs,

Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.

Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au huku kesi ikiendelea ICC.

Mtindo huo wa kuwaua mashahidi aliutumia Ruto kuua mashahidi wote mpaka kesi ikakosa ushahidi na ikafutwa.

Wewe kama ni mhanga wa M029 ukiitwa au wakisema njooni mtoe ushuhuda msiendeee kabisa!
Walishawakamata weng wao
 
Mwanasheria wetu kajifanya kumdanganya kujitoa ICC akidhani atapona, ila kisheria kwa sababu uhalifu ulitendeka akiwa mjumbe hivyo hata akiondoka madarakani lazima ICC waje kumkamata (refer kesi ya Rodrigue Duertes rais wa zamani wa Philipine mpaka leo yupo ICC kashikiliwa). Kwa hiyo hata kama akiweza ku survive hii miaka 5, basi lazima ICC waje kumdaka. Kwa ICC sasa hivi kesi iko kwenye expedite kama endapo ataua na kuendelea kuua D09 basi within next year 2026 anaweza kuja kukamatwa
Asante kwa maelezo.
 
Hili linapaswa kupewa nafasi ya kipekee, zitumike njia mbambali umma ujulishwe usitoe ushirikiano kwenye Tume ya muuaji samuya.
 
Back
Top Bottom