charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,988
- 4,413
Ila shoga angu BICHWA KOMWE - kwan we si upo daslam ndio wanatakiwa utujuze sie wa tandahimba 😂😂😂
Ila shoga angu BICHWA KOMWE - kwan we si upo daslam ndio wanatakiwa utujuze sie wa tandahimba 😂😂😂
Mdomo nisaidie kutafunaTunayo miaka takribani 10 ya utekaji ulioshamiri, watekaji haichukui mali za wahanga hivyo basi si majambazi. Wahanga ni wapinzani, wana CCM walitofautiana na chama chao kimitazamo na rais wa kawaida wasiokubaliana na serekali ya CCM.
Ushauri mzuri sana , ila pia ni upumbavu sasa unaenda kwenye iyo tume isioeleweka kwamba ndo itarudisha roho marehemu , hata usingeshauri siwezi fanya upumbavu wa namna hiiGTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au huku kesi ikiendelea ICC.
Mtindo huo wa kuwaua mashahidi aliutumia Ruto kuua mashahidi wote mpaka kesi ikakosa ushahidi na ikafutwa.
Wewe kama ni mhanga wa M029 ukiitwa au wakisema njooni mtoe ushuhuda msiendeee kabisa!