Yes Lengo la tume ya Samia ni kuwatafuta wenye ushahidi,ili wawamalize na kupoteza ushahidi.GTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au huku kesi ikiendelea ICC.
Mtindo huo wa kuwaua mashahidi aliutumia Ruto kuua mashahidi wote mpaka kesi ikakosa ushahidi na ikafutwa.
Wewe kama ni mhanga wa M029 ukiitwa au wakisema njooni mtoe ushuhuda msiendeee kabisa!
Zingatieni hiliGTs,

Ni kwasababu upo Tanzania, inayoongozwa na CCM ambao ni makatili na wanafiki waandamizi.Bado sielewi umuhimu wa siasa Huenda nahitaji msaada wa elimu.
Hilo nalijua, ila ni vile ubongo wangu hautaki kabisa kudeal na hayo mambo, ila najua kabisaZingatieni hili
Ni kwasababu upo Tanzania, inayoongozwa na CCM ambao ni makatili na wanafiki waandamizi.
Unaweza kuepuka ku deal na siasa ila hautaepuka effects za siasa.Hilo nalijua, ila ni vile ubongo wangu hautaki kabisa kudeal na hayo mambo, ila najua kabisa
Kwa hakika, maana juzi kati nimenunua sukari ya 500 kwa 1000Unaweza kuepuka ku deal na siasa ila hautaepuka effects za siasa.
Si sukari tu, ukisikia flani katekwa, mwili wa flani umeokotwa porini, tambua wale siyo mbuzi. Hilo jambo laweza kukukuta hata wewe.....usiache kupaza sauti.Kwa hakika, maana juzi kati nimenunua sukari ya 500 kwa 1000
Lakini watekaji na majambazi wa kawaid Wnaweza kutumia nafasi hiyo kufanya matukio yao kisha lawama zote zikaenda kwa Mheshimiwa Rais.Si sukari tu, ukisikia flani katekwa, mwili wa flani umeokotwa porini, tambua wale siyo mbuzi. Hilo jambo laweza kukukuta hata wewe.....usiache kupaza sauti.
Tunayo miaka takribani 10 ya utekaji ulioshamiri, watekaji haichukui mali za wahanga hivyo basi si majambazi. Wahanga ni wapinzani, wana CCM walitofautiana na chama chao kimitazamo na rais wa kawaida wasiokubaliana na serekali ya CCM.Lakini watekaji na majambazi wa kawaid Wnaweza kutumia nafasi hiyo kufanya matukio yao kisha lawama zote zikaenda kwa Mheshimiwa Rais.
Najaribu kujaradia Comment yangu
Mwanasheria wetu kajifanya kumdanganya kujitoa ICC akidhani atapona, ila kisheria kwa sababu uhalifu ulitendeka akiwa mjumbe hivyo hata akiondoka madarakani lazima ICC waje kumkamata (refer kesi ya Rodrigue Duertes rais wa zamani wa Philipine mpaka leo yupo ICC kashikiliwa). Kwa hiyo hata kama akiweza ku survive hii miaka 5, basi lazima ICC waje kumdaka. Kwa ICC sasa hivi kesi iko kwenye expedite kama endapo ataua na kuendelea kuua D09 basi within next year 2026 anaweza kuja kukamatwa
Walishawakamata weng waoGTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au huku kesi ikiendelea ICC.
Mtindo huo wa kuwaua mashahidi aliutumia Ruto kuua mashahidi wote mpaka kesi ikakosa ushahidi na ikafutwa.
Wewe kama ni mhanga wa M029 ukiitwa au wakisema njooni mtoe ushuhuda msiendeee kabisa!
Asante kwa maelezo.Mwanasheria wetu kajifanya kumdanganya kujitoa ICC akidhani atapona, ila kisheria kwa sababu uhalifu ulitendeka akiwa mjumbe hivyo hata akiondoka madarakani lazima ICC waje kumkamata (refer kesi ya Rodrigue Duertes rais wa zamani wa Philipine mpaka leo yupo ICC kashikiliwa). Kwa hiyo hata kama akiweza ku survive hii miaka 5, basi lazima ICC waje kumdaka. Kwa ICC sasa hivi kesi iko kwenye expedite kama endapo ataua na kuendelea kuua D09 basi within next year 2026 anaweza kuja kukamatwa
Waende kwenye Tume wakawataje waliowatuma.Walishawakamata weng wao