PostGE2025 Wahanga wa MO29 Epukeni kushirikiana na Tume iliyoundwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tunayo miaka takribani 10 ya utekaji ulioshamiri, watekaji haichukui mali za wahanga hivyo basi si majambazi. Wahanga ni wapinzani, wana CCM walitofautiana na chama chao kimitazamo na rais wa kawaida wasiokubaliana na serekali ya CCM.
Mdomo nisaidie kutafuna
 
Ushauri mzuri sana , ila pia ni upumbavu sasa unaenda kwenye iyo tume isioeleweka kwamba ndo itarudisha roho marehemu , hata usingeshauri siwezi fanya upumbavu wa namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…