Naangalia Azam TvTBC hao 🤣🤣🤣
Mm naangalia Tbc sa hv wamebadilisha Naona somo limewaingiaNaangalia Azam Tv
Ni kama Sudan na Sudan KusiniAlafu hii Conakry mbona sio maarufu sana. Kwanini lakini
Mkuu unazidi kuwa kofyozi TBCHalafu kuna nchi inaitwa papua new guinea huko mashariki ya mbali.
Sasa Hawa wanatuchanganya nimesikia Guinea Bissau mara Guinea Conakary Sasa Hawa wanaocheza na equatorial guinea ni hao Conakry au bissau ?Hata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia
Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Hii ndiyo sahihi.Nchi ziko tatu
1. Guinea
2. Guinea-Bissau
3. Equitorial Guinea
Guinea ya kwanza, inatamkwa hivyo hivyo kama Guinea bila kuongeza neno lolote
Huko umeme upo daah mnafaidi huo mtanangeMm naangalia Tbc sa hv wamebadilisha Naona somo limewaingia
Mkuu huku Leo hawajakataHuko umeme upo daah mnafaidi huo mtanange
Hili tatizo niliwahi kuliongelea hapa JF. Watangazaji wa siku hizi ni vilaza wa kutupwa.Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geograpyhy wako zero
Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea
Hebu wahini kusahihisha hilo
Hata wewe ni kilaza vilevile sio New papua Guinea, ni PAPUA NEW GUINEA na haipo Asia ipo katika bara la OceaniaHata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia
Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Wakitangaza kuwa wanacheza na Guinea Conakry kusaidia watazamaji kuelewa wataumwa malaria au kipindupindu?Hakuna Guinea Conakry.
Conakry ni.mji mkuu wa.Guinea.