Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea. Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry

Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea. Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry

Hata wewe ni kilaza vile vile
Kuna guinea 3 Africa na moja IPO Asia

Equitorial guinea
Guinea Conakry
Guinea Bissau
Haya yote ni mataifa matatu tofauti na yapo Africa
Nyingine ni new Papua Guinea hiyo IPO Asia na Kuna black people vile vile
Hakuna kitu kinachoitwa Guinea Conakry. Hiyo inaitwa Guinea. Acha upotoshaji
 
Hujasoma uandishi wa habari wewe .Mwandishi sio kasuku anapayuka tu Kuna kufanya analysis mfano Guinea ziko nyingi msikilizaji hutakiwi kumchukulia kama mtaalamu mbobezi wa jiografia anatakiwa aeleze Guinea ipi inacheza kusaidia hata mbumbumbu aliyefeli la saba kuelewa huo mpira anaotangaza anatangaza kwenye mass .Na mass communication Ina principle zake kuwa inatakiwa majority mass waelewe sio wasomi tu hicho unatangaza unageuka mtangazaji na mwalimu pia

Chombo Cha habari ni mass communication moja ya sifa za message ya mass communication ni kuwa message must be understood by masses not few ndio maana nikasema waongeze neno kuwa Timu inayocheza ni Guinea Conakry na pale waweza chomekea kuelimisha mass kuwa why wanasema Guinea Conakry kuwa Kuna Guinea nyingi wakazitaja kukoleza vionjo huku wakitoa elimu kufanya jiografia iwe hai Kwa wasikilizaji hata kesho wakikutana vijiwe vya kahawa watamsifu mtangazaji kuwa mchambuzi na mtangazaji mahiri na wai kugeuka wachambuzi mahiri kuhusu mchezo na chombo Cha habari kupata viewers wengi baadaye kuwa kule Kuna watangazaji mahiri

Kutangaza sio kazi ya ukasuku
Kama hadi unaenda kuangalia mechi na haujui ni timu au nchi gani zinacheza eti hadi mtangazaji akutakie, tatizo lipo upande wako
 
Ujuaji tu!

Guinea 🇬🇳 jina lake lipo hivyo-hivyo na Conakry ni mji mkuu. Pia, kuna Guinea-Bissau na Equatorial Guinea kwa Africa na Papua New Guinea kwa Oceania.
Forgotten, kabla hujabisha fanya utafiti. Usibishe pa pa paa kama bata. Wakati mwingine inaitwa Guinea Conakry . Conakry ndo mji wake mkuu.
"Guinea (/ˈɡɪni/ GHIN-ee),[a] officially the Republic of Guinea (French: République de Guinée), is a coastal country in West Africa. It borders the Atlantic Ocean to the west, Guinea-Bissau to the northwest, Senegal to the north, Mali to the northeast, Cote d'Ivoire to the southeast, and Sierra Leone and Liberia to the south. It is sometimes referred to as Guinea-Conakry after its capital Conakry, to distinguish it from other territories in the eponymous region such as Guinea-Bissau and Equatorial Guinea.[8][9][10][11] Guinea has a population of 14 million and an area of 245,857 square kilometres (94,926 sq mi)"
 
Do research please
Kwa mtu yoyote aliyesoma historia ya West Africa , lazima atajua kuna nchi inaitwa Guinea Conakry ambayo ndo Guinea. Vile vile kama ulisoma Novel ya The African Child ya Camara Laye utajuakuwa kuna nchi inaitwa Guinea Conakry . Tujibidishe kufanya uatafiti kabla ya kubisha ndo kujifunza kwenyewe. Tusiwe mabata
 
Kuna Sudan na Sudani Kusini.
Usilazimishe watu, waseme Sudani Kasikazini.
So we have Guinea, Guinea Bissau and Equatorial Guinea in Africa.
 
Hizi gine gine nazo miyeyusho.
Kwanini zikawa nyingi namna hiyo, hawakuona majina mengine zaidi ya hizo gine gine
 
Vyombo vingi vya habari vina shida Hadi wapiga kamera unakuta mtu anatangaza taarifa ya habari ya mafuriko kamera badala ya kuonyesha mafuriko inamlenga tu mtangazaji wakati mtangazaji alitakiwa asikike tu audio picha za mafuriko ndizo zitawale
Na hapo tatizo siyo wanakofundishwa ni wawo wenyewe
 
Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geography wako zero.

Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea.

Hebu wahini kusahihisha hilo.
Guinea ziko tatu.
Equatorial Guinea iko Central Africa rais ni Theodore Obiang lugha rasmi ni Kireno, Kifaransa na Spanish.


Guinea Conakry iko West Africa rais ni Mamadou Doumbouya hawa ndiyo wameendelea zaidi kwenye football ikiwemo timu ya Horoya na wachezaji wengi kwenye vilabu vikubwa Europe kama Naby Keita, wanazungumza kifaransa.

Guinea Bissau iko West Africa rais ni Emaro Embalo wanazungumza kireno.

Watangazaji wetu wengi shule za kuokoteza okoteza mbaya zaidi hawana utamaduni hata wa kujisomea vitu vidogo vidogo kama hivi.
 
Alafu hii Conakry mbona sio maarufu sana. Kwanini lakini
Guinea zote zinafanana umaarufu ila hiyo Conakry ndiko inakotokea timu ya Horoya AC na mwamba aliyepindua nchi Mamadou Doumbouya.

Equatorial Guinea hii imeshikiliwa na ukoo wa Theodore Nguema na haipotei kwenye spotlight kwa sababu ya visanga vya makamu wa rais wake ni mtoto wa rais aliyeko madarakani.

Guinea Bissau ndiyo tulivu kuliko hizo zingine.
 
Hakuna Guinea Conakry.
Conakry ni.mji mkuu wa.Guinea.
Majina ya miji mikuu ya nchi hizi yanasaidia katika kuzitambua kiurahisi. Guinea Bissau ni nchi ya Guinea ambayo makao yake makuu yapo Bissau. Vivyo hivyo Guinea Conakry. Kumbuka kulikuwepo na Congo mbili na majina ya miji mikuu yalitumika katika kuyatofautisha moja ikiitwa Congo Brazzaville na nyingine Congo Leopoldville ambayo baadae ilikuja kujulikana kama Congo Kinshasa na kwa sasa inaitwa Democratic Republic of Congo aka DRC.
 
Hiyo Guinea Conakry ni kuuita tu ili kiuitofautisha. Lakini nchi kama nchi inaitwa hivyo hivyo Guinea bila kuongeza neno.

Ni kama Congo Kinshasa na Congo Brazzaville. Hizi zote ni Congo, na hata passport itasoma unatokea Congo ila hizo Kinshasa na Brazzaville ni miji mikuu ya kutofautisha hizo nchi mbili.

Ila Equatorial Guinea ni jina kabisa la nchi, wala sio sababu ya kutofautisha. Hivyo maneno "Conakry" na "Equatorial" hayako katika muktadha mmoja.
Kwa sasa hakuna Congo Kinshasa ila kuna DRC na Congo Brazaville
 
Karibuni sana Papua New Guinea
Asante. Niliyapenda sana yale mavazi yao ambayo hata Mkuu wao wa nchi aliyavaa huko Umoja wa Mataifa. Vipi na wewe umeshaashona vazi kama hilo ambalo linaonesha utamaduni wa watu wa huko?
 
Wahariri Tv zetu hebu wastueni watangaza mpira kati ya Guinea na Equatorial Guinea kombe la AFCON .Guinea ziko mbili Guinea Bissau na Guinea conakry geography wako zero.

Timu inayocheza Leo na Equatorial Guinea ni Guinea Conakry watangaze hivyo sio tu kusema tu Guinea.

Hebu wahini kusahihisha hilo.
Mleta Uzi ni muongo sana sema basi tu, labda kuleta utofauti ndo waseme ivyo , ila Kuna Guinea, Guinea bissau , equatorial guinea na new Papua guinea
 
Guinea ziko tatu.
Equatorial Guinea iko Central Africa rais ni Theodore Obiang lugha rasmi ni Kireno, Kifaransa na Spanish.


Guinea Conakry iko West Africa rais ni Mamadou Doumbouya hawa ndiyo wameendelea zaidi kwenye football ikiwemo timu ya Horoya na wachezaji wengi kwenye vilabu vikubwa Europe kama Naby Keita, wanazungumza kifaransa.

Guinea Bissau iko West Africa rais ni Emaro Embalo wanazungumza kireno.

Watangazaji wetu wengi shule za kuokoteza okoteza mbaya zaidi hawana utamaduni hata wa kujisomea vitu vidogo vidogo kama hivi.
Nimesoma Atlas miaka 20 iliyopita ila sijawahi sikia nchi inaitwa Guinea Conakry,
Zaidi ya Guinea , Guinea bissau ,equatorial guinea na new Papua guinea , muache ujuaji na kupotosha watu,
 
Back
Top Bottom