Guinea ziko tatu.
Equatorial Guinea iko Central Africa rais ni Theodore Obiang lugha rasmi ni Kireno, Kifaransa na Spanish.
Guinea Conakry iko West Africa rais ni Mamadou Doumbouya hawa ndiyo wameendelea zaidi kwenye football ikiwemo timu ya Horoya na wachezaji wengi kwenye vilabu vikubwa Europe kama Naby Keita, wanazungumza kifaransa.
Guinea Bissau iko West Africa rais ni Emaro Embalo wanazungumza kireno.
Watangazaji wetu wengi shule za kuokoteza okoteza mbaya zaidi hawana utamaduni hata wa kujisomea vitu vidogo vidogo kama hivi.