Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Atawalipa tu ,Kwani Kuna hela anaisikilizia,,Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Unawaza kama mimi. Ifike kipindi watu kama hawa wakijitokeza hadharani wanashughulikiwa hadi uhuni uishe!Wahuni ni wao kwa kukubali kutumika kuandika habari za uongo na za kukashifu wengine na kumpamba mtu fulani
Hahaaha ndio waliokua wanahariri ule uchafu sio? Safi wacha karma ifanye kaziWahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Hao siyo wa kuwaonea huruma.Unawaza kama mimi. Ifike kipindi watu kama hawa wakijitokeza hadharani wanashughulikiwa hadi uhuni uishe!
Pesa alikuwa nayo maana ndio kila kituHivi mtu anawezaje kuajiriwa na Musiba !
Kazi ya kutukana watu.Halafu wanadai malipo kwa kazi gani waliyofanya
Basi wakae na mavi yao hapo kwa CyprianKazi ya kutukana watu.
Wapo watu wanasema Musiba alipandikizwa na watawala kuwasemea ovyo wabaya wa Magufuli na serikali yake,kumwahidi pesa nyingi.Kwani musiba alikuwa mmiliki wa chochote? Huyo alikuwa Toilet paper tu. Kisha kuwa flashed.
CCM vibaraka wote wajipange upya. Kazi iendelee.
Uko sawa 100%Kuna kitu mna-mis hapa kwenye hili sakata. Musiba tayari ameshageuziwa kibao na wale aliokuwa anawatuka. Hapa hawa jamaa wanatumika kama decoy tu. Wenye usukani sasa hivi wanataka kumshughulikia kwa njia za kitaalam. Hivi hao ''wahariri'' mnafikiria walikuwa hawajui ni nini kinachoendelea? I mean mlidhani walikuwa wanajua Musiba ndiyo anatoa fedha au gazeti linajiendesha kwa faida? Hawa wamefuatwa na watu wakapewa maelekezo ya nini cha kufanya.