sababu ya msiba wa ajira nchiniHivi mtu anawezaje kuajiriwa na Musiba !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sababu ya msiba wa ajira nchiniHivi mtu anawezaje kuajiriwa na Musiba !
Kwa nini basi dola imekaa kimya dhidi yake?Magazeti yake yalikuwa kwaajili ya kumsifia magufuli, kuwatukana wapinzani na kuwazushia uongo wale wote waliokuwa kinyume na uvunjifu wa sheria wakati huo
Kwa hali hii Musiba aendelee kujificha...unaambiwa enzi za utawala wa "kichaa", hawa wahariri wa magazeti ya musiba nao walikuwa wanajiona ni sehemu ya task force ya TISS.
wapo waliokabidhiwa mpaka bastola watambee nazo mitaani.
acha waisome namba, hakuna wa kuwatetea.
View attachment 1848494View attachment 1848495
kuna ukweli fulani .Mwendazake ndo alikuwa mmiliki na muwezeshaji mkubwa wa hili gazeti sasa baada ya kufa mwezi Marcha hakuna tena mshahara
Ccm wana tabia ya kulindanaKwa nini basi dola imekaa kimya dhidi yake?
Ccm wana tabia ya kulindanaKwa nini basi dola imekaa kimya dhidi yake?
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Atawalipaje sasa kiburi cha hela kilishakatika
Itakuwa alikuwa anawezeshwa na aliokuwa anawatumikia.
Kwa awamu hii anaungua hivyo kuunguza sio ajabu.
Wakati si milele. .!!!Avune alichokipanda mhuni huyo!
Wataangukia puaLeo ndio wamejua uhuni wa Musiba? Kipindi wanatumika kuwachafua watu kwa kutumia kalamu zao walijua boss wao Musiba ni malaika au?
Wote ni wahuni, musiba muhuni, na wahariri was habari za kihuni ni wahuni piaWahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Na wao wahariri ni wahuni. Waliaanzaje kunajisi taaluma zao za uandishi kwa kuhariri magazeti yaliyojaa matusi ya Musiba?Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi
Kuna kitu mna-mis hapa kwenye hili sakata. Musiba tayari ameshageuziwa kibao na wale aliokuwa anawatuka. Hapa hawa jamaa wanatumika kama decoy tu. Wenye usukani sasa hivi wanataka kumshughulikia kwa njia za kitaalam. Hivi hao ''wahariri'' mnafikiria walikuwa hawajui ni nini kinachoendelea? I mean mlidhani walikuwa wanajua Musiba ndiyo anatoa fedha au gazeti linajiendesha kwa faida? Hawa wamefuatwa na watu wakapewa maelekezo ya nini cha kufanya.Acha wakome shenz taipu wakubwa hawa,huo ndo mshahara wa kumtumikia Shetani.
Musiba hamiliki kampuni yoyote ile ya Magazeti,yale yalikuwa ni Magazeti ya Ikulu,yalianzishwa na Magufuli kwa ajili ya Propaganda za utawala wake.
Kwa kuwa Magufuli alichukiwa sana,na Magazeti yake hayakuwa yakinunuliwa kiasi cha kutengenezea faida ya kulipa hadi wafanyakazi,kwa hiyo Magufuli alikuwa akichota pesa ya Serikali na kuwalipa hao wafanyakazi.
Sasa,hayupo, amekufa,Taahira la Taifa Musiba aka Shenz taipu litatoa wapi pesa za kuwalipa? ndo maana halipokei simu.
MUNGU huwa mkubwa mno,kufumba na kufumbua Magufuli hayupo,ila Bado elements zake zinaishi ndani ya CCM,ndo maana Rais Samia naye ni Dikteta.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app