Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni

Karma,
Watavuna walichoapanda Mbuzi hao[emoji3525]
JamiiForums-1393002476.jpg
 
Kwani miezi yote hiyo walikuwa wanakula nini na bado wakaendelea kufanya kazi?
Anyway..

IMG-20210710-WA0001.jpg
 
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu..
Yaan ndio wanajua leo kua Msiba ni muhuni baada ya kunyimwa mishahara? Wakati wanashirikiana nae kuchafua watu hawakujua kua ule ulikua uhunii?
 
Daah nimecheka sana..Musiba ni mhuni.

Eti wahariri hawajalipwa..hawa kwanza walikuwa wana hariri nini?..njaa tu zinasumbua watu..
 
Kwahiyo Lilikuwa Genge La Wahuni Wachache 😃😂😁😄😅😅😁😀
 
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.

Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.

Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.

Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Hao wahariri ndio walikuwa wanatumika kuandika upumbavu watajijua. Wao na musiba ni kitunkimoja.
 
Hao wahariri ni wahuni nao...
Dhambi kubwa wamefanya Kwa watanzania wanastahili kufa tu
 
Back
Top Bottom