Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Wakashtaki kwa aliyekuwa anawatuma waandike uzandiki na kebehi kwa watanzania henzi za mwendazake.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani jumatatu
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa
Yaani ipite miaka 100 wasilipwe.