Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata asipofungwa, mwehu mwenzake aliyekuwa anamlipa hayupo tenaHakuna hakimu wa kumfunga Musiba bila ripoti ya Daktari.
Yaan ndio wanajua leo kua Msiba ni muhuni baada ya kunyimwa mishahara? Wakati wanashirikiana nae kuchafua watu hawakujua kua ule ulikua uhunii?Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu..
Ni afadhali hata wangekuwa mbuziKarma,
Watavuna walichoapanda Mbuzi hao[emoji3525]View attachment 1848568
Hao wahariri ndio walikuwa wanatumika kuandika upumbavu watajijua. Wao na musiba ni kitunkimoja.Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu.
Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu.
Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia.
Wameyasema hayo wakiwa wanawasemea waandishi wengine wa magezi hayo ambao pia hawajalipwa.
Ile CCM ya washamba ilishakufa na mwendazakeCCM okoen jahaz jarida lenu hilo