Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata.
Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege tunapokuwa tunakwenda mikoani, ile stendi ya mabasi ukichunguza utabaini kuwa wanaoitumia zaidi ni watu wa makundi yafuatayo;
1. Wenyeji wa kagera ambao si wahaya.
2. Watu wa mikoa mingine wanaokuja bukoba kujifunza ustaarabu.
3. Wahaya wachache wanaotaka kujionea mateso mnayoyapata kwenye usafiri wa mabasi.
Ombi letu kwa serikali ni kupewa ardhi pale bandarini tujenge gati ya kupitisha magari ya wahaya, pia tupewe ruhusa tujenge airport inayo elea ziwa Victoria ili ndege zetu zitue hapo.
Kwa wasiojua hata DP Word ni mali ya mhaya.