Wahaya kama Wachaga, tunarudi home Krismasi

Wahaya kama Wachaga, tunarudi home Krismasi

Mimi toka nizaliwe sijawahi ona mhaya kapanda basi kutoka mkoa wowote kwenda kwao ni ndege na private car tena mpya sio used mleta mada acha uzushi

Ni mimi Retired Ambassodor of Tanzania to Developed Nations , PROFFESSOR EMIRITUS DR (ENG) YEHODAYA RWARUBISI (4 PHDs IN INTERNATIONAL MATTERS)
Kumekuchaaa [emoji16]
 
Asante Emeritus Professor Dr (Eng) - 4 PhDs from Harvard - Rwarubisi toka Kanyigo Ave. Bukobah City, Tanzanie.
Thanks wewe unanielewa mimi nilikuwa mshauri wa katibu Mkuu wa umoja wa mataifa wa nchi zilizoendelea alinipa post kuwa mshauri wake wa nchi zisizoendelea nikakataa kuwa Hawako educated hawawezi zingatia ushauri atafute mtu mwingine au aniachishe kazi akaona atapoteza mtaalamu akanipa post niliyotaka
UN wanajali competence na education
 
Kama ilivyo desturi ya ndugu zetu Wachaga nasi tumeanza kwenda home Bukoba city kipindi Cha mwisho wa mwaka (kwa njia mbalimbali hususani Ndege-Scheduled and chartered, private expensive cars na kidooogo mabasi).

NB: Tunaendelea na mazungumzo na KLM na Emirates walete ndege direct Bukoba Airport (Iwe rahisi kufanya connections na international destination

View attachment 1676975View attachment 1676976s).View attachment 1676974
Wahaya kwa sifa ban hamjambo et kama wachaga dah!!!
 
Thanks wewe unanielewa mimi nilikuwa mshauri wa katibu Mkuu wa umoja wa mataifa wa nchi zilizoendelea alinipa post kuwa mshauri wake wa nchi zisizoendelea nikakataa kuwa Hawako educated hawawezi zingatia ushauri atafute mtu mwingine au aniachishe kazi akaona atapoteza mtaalamu akanipa post niliyotaka
UN wanajali competence na education
Professor Emeritus Dr (Eng) - Yule Mngindo umemwerewa? Karibu katika semina ya mabinti bikra hapa Karagwe
 
Attachments

  • dr.samsasali_20200427_080549_0.jpg
    dr.samsasali_20200427_080549_0.jpg
    29.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom