Wahaya kama Wachaga, tunarudi home Krismasi

Wahaya kama Wachaga, tunarudi home Krismasi

Mimi toka nizaliwe sijawahi ona mhaya kapanda basi kutoka mkoa wowote kwenda kwao ni ndege na private car tena mpya sio used mleta mada acha uzushi

Ni mimi Retired Ambassodor of Tanzania to Developed Nations , PROFFESSOR EMIRITUS DR (ENG) YEHODAYA RWARUBISI (4 PHDs IN INTERNATIONAL MATTERS)
OK mkuu kwahiyo bukoba wageni wengi kuliko wenyeji? Maana mabasi yanayoenda bukoba in mengi
 
nilifurahi sana siku moja mlikuwa mnasafirisha maiti kutoa arusha to bukoba..
mlikodisha gari zile za kubebea mwili mkaona haitoshi mkakodisha na kichanja semi trela ibebe ile gari ya mwili...
hahaha nyie kiboko
 
Back
Top Bottom