Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Wahaya wamezidi sifa jamani khah!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k
Wanapigana vita international
Nadhani kuna tatizo la ki ufundi kabika chanzo cha wazo hili! Siamini…Wahaya wamezidi sifa jamani khah!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k
Watu wa kutibu paka huku Stockholm na kwenda kufanya shopping Manhattan then wanalala Beverly Hills. Ahaaaa ahaa nshomile acheni hizo mnakera bana.
Wewe utakuwa Muha au wale jamaa zetu wa 'Chigoma ni yetu.....!' MAGULU PANDE HAYAJAMBO?
😀😀😀😀😀😀😀😀!
nyambafuuu mbafu saaanguuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] ejoooohWahaya wamezidi sifa jamani khah!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k