Wahaya kwa mbwembwe

Wahaya kwa mbwembwe

Watu wa kutibu paka huku Stockholm na kwenda kufanya shopping Manhattan then wanalala Beverly Hills. Ahaaaa ahaa nshomile acheni hizo mnakera bana.
 
1473683377261.jpg
 
Watu wa kutibu paka huku Stockholm na kwenda kufanya shopping Manhattan then wanalala Beverly Hills. Ahaaaa ahaa nshomile acheni hizo mnakera bana.

Wewe utakuwa Muha au wale jamaa zetu wa 'Chigoma ni yetu.....!' MAGULU PANDE HAYAJAMBO?
😀😀😀😀😀😀😀😀!
 
Wahaya wamezidi sifa jamani khah!" ETI WANAPATWA NA MADISASTER INTERNATIONAL KAMA EARTHQUAKES" Siyo local kama kipundupindu n.k
nyambafuuu mbafu saaanguuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] ejooooh
 
Back
Top Bottom