Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Leo nilikuwa natazama teknolojia zilizopotea za kale kama vile zege la waroma ambalo lilikuwa likizidi imarika zaidi kila muda unavyopita likiwa kwenye maji ya chumvi.
Basi katika hiyo video jamaa akaomgelea kuhusu steel ya wahaya.
Utengenezaji wa steel wa kisasa uligunduliwa mwaka 1847, kumbe wakati huo wahaya walikuwa washagundua njia ya kutengeneza steel yenye ubora wa juu kabisa kwa mamia ya miaka.
Walikuwa wanauza hiyo steel kwa jamii mbalimbali.
Bahati mbaya wazungu walipokuja wakaleta steel yao ya bei rahisi hivyo biashara ya steel ya wahaya ikafa maana ikakosa wanunuzi.
Bwana Peter Schmidt aliposikia hili alienda Uhayani na kuwaomba wazee wa kihaya wajaribu kutumia njia zile zile kutengeneza steel na baada ya majaribio saba walifanikiwa. Alishangaa kuona product iliyotoka ilikuwa ni ya kiwango cha juu kabisa.
Unaweza pia jisomea zaidi hapa:
www.uh.edu

African Steel Making
Today, ancient African ingenuity gives us steel. The University of Houston's College of Engineering presents this series about the machines that make our civilization run, and the people whose ingenuity created them.