Upo unakoment kwenye platform iliyotengenezwa na mhaya.
Wahaya ni moja ya jamii ya kwanza kufua vyuma Dunia hii. Wew jamii yako iná kipi cha kujivunia😂....
View: https://youtu.be/Dv9HVHpkt9E?si=jFVcJsDHQB4AVAIj
Icho kitabu chako labda kimeandikwa na muhaya mwenzako
Jifunze kupost picha kwanza hapa.Icho kitabu chako labda kimeandikwa na muhaya mwenzako
Vyuma wamefua western africa before crist wewe unatuletea habari za wahaya..ungesema ni wauzaji maarufu wa K ningekuelewaJifunze kupost picha kwanza hapa.
Then tuendelee kujadili.
Hebu angalia hio video vzr.
Ndo maana nimesema wew ni mbishi tu.
Sasa unapost wikipedia hapa.
Wahaya wenyew hawana time na wew. Wew ndo unaumia
View: https://youtu.be/Dv9HVHpkt9E?si=LSBy-xKa2t2jvxaz
Hauna point bro..wahaya utawala wenu ulishapita..mlikuwa mnajazana BOT elimu za kawaida sana sasaivi mko wapi?? Kama mna IQ mmegundua nn?? IQ haiangalii kabila acha kuongopea ummaJifunze kupost picha kwanza hapa.
Then tuendelee kujadili.
Hebu angalia hio video vzr.
Ndo maana nimesema wew ni mbishi tu.
Sasa unapost wikipedia hapa.
Wahaya wenyew hawana time na wew. Wew ndo unaumia
View: https://youtu.be/Dv9HVHpkt9E?si=LSBy-xKa2t2jvxaz
Hoja upingwa kwa hoja na evidence sio matusi. Matusi ni dalili ya kutokuwa na akili, kutostaarabika na ushamba piaVyuma wamefua western africa before crist wewe unatuletea habari za wahaya..ungesema ni wauzaji maarufu wa K ningekuelewa
Leta evidence kupinga kuwa wahaya hawakuvumbua vyuma kama video hiyo inavyosemaHauna point bro..wahaya utawala wenu ulishapita..mlikuwa mnajazana BOT elimu za kawaida sana sasaivi mko wapi?? Kama mna IQ mmegundua nn?? IQ haiangalii kabila acha kuongopea umma
Uko sahihi . Na ushahidi umetajwa kwenye Biblia . Mwanzo 15:18 - Mto Nile chanzo chake( Head stream ya Mto Nile ) Kiko Bukoba ambacho ni Mto Kagera na Ziwa Victoria.Wahaya wayahudi ni ndugu
Nenda wikipedia huko ndio utaujua ukweli achana na video za youtube uongouongo mwingiLeta evidence kupinga kuwa wahaya hawakuvumbua vyuma kama video hiyo inavyosema
Hayo mengine ni porojo tu na kuonyesha udhaifu wako mbele ya wahaya
Unajua ulichokiandika kwanza hapo?, (unazijua mita za mraba/Square metres) jinga kweli, kwa kukusaidia tu hapo ulitakiwa uandike Square Kilometres mzee, ujue mikoa siyo mashamba au viwanja, af ww ndo wa kumuambia mtu arudi shule dah!,Mkoa wa Kilimanjaro kieneo ni sawa na Wilaya ya Uyui Tabora huwezi linganisha na Mkoa wenye mita za mraba zaidi ya elfu 40 na Kilimanjaro yenye mita za mraba elfu 13. Rudi darasani.
Bila vita ya Kagera ule mkoa ungekuwa mbali sanaWengekuwa wanajua nini wanataka ule mkoa wao usingekuwa vile a very poor region across the country
Kabila halihusiani na IQ. Lakini hali ya hewa ya Kagera, Mbeya na Kilimanjaro ziliwavutia sana wakoloni kuwekeza huko, na hivyo wakajenga shule nyingi, ndiyo maana watu wengi wa kanda hizo wamesoma sana.
Sifa za wanawake wa Kihaya ni kuuza nyapu.Wahaya tuna IQ kubwa hilo halina ubishi..!🤸
Wote waliooa wanawake wa kihaya hawajawahi kujutia
Ya kweli haya?Kabila halihusiani na IQ. Lakini hali ya hewa ya Kagera, Mbeya na Kilimanjaro ziliwavutia sana wakoloni kuwekeza huko, na hivyo wakajenga shule nyingi, ndiyo maana watu wengi wa kanda hizo wamesoma sana.
Sasa mbona huwa wanawaacha tena!Wahaya tuna IQ kubwa hilo halina ubishi..!🤸
Wote waliooa wanawake wa kihaya hawajawahi kujutia
Labda IQ ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu!Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.
NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
DNA factor, zina mchango wake.
Mkuu wakerewe wa wapi hao wenye akili nyingi? Yaani unamweka mkerewe juu ya muhaya na msukuma? Utakuwa mkerewe wewe unajipakulia minyamaKwa kanda ya ziwa wenye akili nyingi ni:
1. Wakerewe
2. Wahaya
3. Wajita
4. Wasukuma
Hongera kwa kuliona Hilo watoto wa juzi hawayajui hayaNdugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na wengineo.
NB: Huu ni mtazamo tu tusijenge chuki.
DNA factor, zina mchango wake.