Las Mas Bobos
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 991
- 326
we mshamba kweli hii nyumba mmpanga ,anakaaa jamaa mmoja mhaya wa tra domestic revenue ndo kawajaza wadogo zake kutoka bukoba ,then mm nawafahamu wote mnapiga sana misele na subaru ya kaka jijini
Hapo umepotea njia,Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Hapo umepotea njia,
ukabila nyerere alikataza , huoni hata aibu kuongea mambo ya ukabila mwaka huu wa 2012????!!! mimi nadhani ni ushamba tu unakusumbua na mawenge ya kuchaguliwa chuo kikuu , ndo unaanza kujidai eti unataka kuendeleza wenzako.. kama kweli una dhamira ya kweli , fanya mipango ya kuiendeleza tanzania nzima na sio hao wahaya wenzako........ ni hayo tu kaka , , , na sijui hicho chuo umechaguliwa chuo gani kinachokupa mawenge namna hiyo....
Mkuu nadhani hii inamuhusu Jaruo Omera sidhani kama umeidirect mahali pake, hata hivyo karibu sana!!!MKUU WA KAYA(MUHAYA) AKITOA MAELEKEZO KWA DADA WA KAZI KABLA YA KUONDOKA NYUMBANI ASUBUHI:
Mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambieni nimeenda bank kuchukua milioni thelathini kwa ajili ya ada za kaka zenu wawili wanaosoma PHD uingereza, wakiuliza jumla mu wangapi waambieni tuko nane, ila Bibi mzaa Baba ameenda India kutibiwa na yupo huko mwezi sasa, na imetucost mpaka dakika hii milioni sabini, mama yenu muwaambie yupo site, anasimamia ushushwaji wa vifaa vya ujenzi 'kwa ajili ya finishing' vimetoka China ambavyo vimetugharimu milioni 600, halafu na watoto wengine waliobaki waambieni wameenda kutembea serengeti na rafiki zao wametoka Australia, na wanatumia gari mbili Range Rover na Hummer, kama watahitaji kuongea namimi wapeni namba zangu za Blackberry tu, zile Samsung Galax waambieni huwa natumia kwa family Issues tu ...
Nilisema huyu jamaa amelenga Omera Onyango, kweli umewapata wengi pressure juu!!!Mwandishi namjua siyo mhaya yupo ktk harakati za kuchangamsha jamvi. Siyo wengine mkitaniwa kidogo mnaanza kulia ;lia
Degree programs zisizo za kawaida ni kama zipi?inaonyesha huyu jamaa ni mtu wa kujidai sana ndo maana hata kubebwa na mtu kama huyu sitaki , wala hata kufahamiana nae , sijui anadhani watu wengine wanasomea nini!!!! na istoshe hiyo degree program yake anayoebda kuisomea ni ya kawaida sana pale COET ,,,, atuulize sisi kaka zake ,,, bora tu angekaa kimya
Mmmmhh!!! Nadhani wenye ukabila ni Unveristy Senate na Council wanaowajaza Wahaya pale. Hivi hivyo vyombo mmeishavichunguza? Bila shaka vimejaa Wahaya. Hapa naona wasomi hasara wasio hata na uwezo mdogo wa kuchambua mambo.ukabila bado upo ,, na hawa wahaya ndo wenyewe.... pale mlimani wamejazana kama uchafu ,,, kila depertment imejaa wahaya ,,,,, sehemu ambayo wameshindwa kupenya ni UDBS tu peke yake....
Mteja mzuri. kila duka unalijua!!!Katazeni na wale ndugu zenu wanaoishi kwakujiuza bukubuku huku mjini pia wanajenga vijumba vya udongo ikifika saa 12 jioni wanakaa mlangoni hebu anzeni huku mjini kule kigamboni ,pale uwanjani magenge ya juu,kule magomeni ,kule mwananyamala ,wamezidi mpaka aibu yani wao wanajua kujiuza tutututu wasaidieni na hao pia.
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.
Katerero vipi?
Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.
wahaya jamaa wana chuki na majungu balaa afu mademu wao wote ni malay... Afu vilevile isitoshe dingi yako kapigwa libwata ful kuosha vyombo na kufua nguo za mkewe kabla ya kwenda kazn