Wahaya wote inawahusu!!!

Wahaya wote inawahusu!!!

Asante kwa ushauri wako. Hapa sijaonesha ukabila wowote, linapokuja suala la kijamii kama hili lazimi tuwajibike kwa nafsi zetu.
Nimechaguliwa Bsc. Electrical Engineering, UDSM.
Hapo umepotea njia,
 
Katazeni na wale ndugu zenu wanaoishi kwakujiuza bukubuku huku mjini pia wanajenga vijumba vya udongo ikifika saa 12 jioni wanakaa mlangoni hebu anzeni huku mjini kule kigamboni ,pale uwanjani magenge ya juu,kule magomeni ,kule mwananyamala ,wamezidi mpaka aibu yani wao wanajua kujiuza tutututu wasaidieni na hao pia.
 
ukabila nyerere alikataza , huoni hata aibu kuongea mambo ya ukabila mwaka huu wa 2012????!!! mimi nadhani ni ushamba tu unakusumbua na mawenge ya kuchaguliwa chuo kikuu , ndo unaanza kujidai eti unataka kuendeleza wenzako.. kama kweli una dhamira ya kweli , fanya mipango ya kuiendeleza tanzania nzima na sio hao wahaya wenzako........ ni hayo tu kaka , , , na sijui hicho chuo umechaguliwa chuo gani kinachokupa mawenge namna hiyo....

Yaani Watanzania waogope kujadili kuhusu matatizo yanayo kumba mkoa wao eti wasije kuitwa wakabila!! Mara ngapi tunaona matangazo kwenye magazeti/radio/TV raia wa kutoka mkoa fulani wanaitana kujadili maendeleo ya mkoa wao na hakuna anaye PINGA au kulalama, kwani ni lazima tusubiri Serikali kwa kila jambo.

Tatizo hapa kuna baadhi ya watu wanangalia aliye toa wazo hilo anatoka mkoa gani, angekuwa anatoka Katavi au Kasulu ungekaa kimya lakini akiwa ni mtu kutoka: Kilimanjaro, Mbeya au Kagera basi utasikia kwamba hawa watu wana ukabila wanataka kugawa nchi - mambo ya uzushi mtupu, na mara nyingi watu huwa wana-insist kuwaita watu makabila yao hata kama wanajuwa jina lako utasikia unasema yelu Mhaya au yule Mchaga - wanaona ni rahisi kutaja kabila kuliko JINA!

Hebu rudia kusoma mambo uliyo andika hapo juu, yanatoa picha gani? kwa kuwa mtoa hoja ni Mhaya basi hiyo inakuwa issue, nilijuwa watatokea watu wakuleta lame excuses kama hizi specifically mtoa mada akiwa ni MHAYA, mawazo haya ya kushangaza ndio yalifanya awamu ya kwanza kukwamisha maendeleo ya mikoa fulani - mtu una ambiwa eti miji ya Bukoba na Moshi ziliwekewa mikakati ya kimakusudi kuikwamishwa kimaendeleo na kielimu, wala siwezi kushangaa kama hakuna watu wanao endeleza ajenda hizi za siri mpaka leo.
 
Mwanzo nilipokuw nikickia jukwaa la elimu nilijua wote waliomo wanajitosheleza kimawazo kumbe c kweli. Ctaki kuamin kuw bado kuna wa2 wanaotaka cfa kwa kuwakosoa au kuwatukana wenzao, huu ni ujinga na ni aibu ujinga kupatkana miongon mwa wasomi. Binafs naona kama huna ushauri au thrt haikuhsu soma kisha sepa kimya kimya maana kuongea ni ktendo chenye gharama ndogo ila ucpokichunga kitakudharirisha.
Binafc namuunga mkono mtoa mada.. Ni jambo jema kupakumbka nyumbani hasa kwa mawazo endelevu kama haya. Nakusih uckate tamaa endelea kuwaunganisha wenzio hvyo hvyo kwan ucpokurekebisha kwako hakuna atakaekurekebishia.. Achana na hao wanaoponda, wa2 wa hv weng sana na huwz kuwakwepa na amin huo cyo ukabila bali ni uzalendo kwan Kagera ni sehem ya Tanzania na wahaya wakielimika watatoa huduma kw watanzania wote na hvyo kila m2 atanufaika.. C ajabu na hao wanaoponda watot wao wakawa ni moja kat ya watakaonufaika na mpango wako..
KILA LA KHERI MKUU MI NIPO PAMOJA NAWE NA NITAIGA MFANO HUU...
 
MKUU WA KAYA(MUHAYA) AKITOA MAELEKEZO KWA DADA WA KAZI KABLA YA KUONDOKA NYUMBANI ASUBUHI:

Mimi natoka watu wa sensa wakiulizia nimeenda wapi waambieni nimeenda bank kuchukua milioni thelathini kwa ajili ya ada za kaka zenu wawili wanaosoma PHD uingereza, wakiuliza jumla mu wangapi waambieni tuko nane, ila Bibi mzaa Baba ameenda India kutibiwa na yupo huko mwezi sasa, na imetucost mpaka dakika hii milioni sabini, mama yenu muwaambie yupo site, anasimamia ushushwaji wa vifaa vya ujenzi 'kwa ajili ya finishing' vimetoka China ambavyo vimetugharimu milioni 600, halafu na watoto wengine waliobaki waambieni wameenda kutembea serengeti na rafiki zao wametoka Australia, na wanatumia gari mbili Range Rover na Hummer, kama watahitaji kuongea namimi wapeni namba zangu za Blackberry tu, zile Samsung Galax waambieni huwa natumia kwa family Issues tu ...
Mkuu nadhani hii inamuhusu Jaruo Omera sidhani kama umeidirect mahali pake, hata hivyo karibu sana!!!

 
Mwandishi namjua siyo mhaya yupo ktk harakati za kuchangamsha jamvi. Siyo wengine mkitaniwa kidogo mnaanza kulia ;lia
Nilisema huyu jamaa amelenga Omera Onyango, kweli umewapata wengi pressure juu!!!

 
Hivi ni kwa nini bado inatuwia vigumu kujifunza kwa yaliyotokea na yanayotokea kwa majirani zetu. Yaliyotokea Rwanda na Burundi yalipaswa kuwa fundisho tosha kwetu juu ya ukabila. Na kwa bahati nzuri hata aliyeleta uzi huu anadai kutokea karibu na nchi hizi. Juzi hapa tumeona yaliyotokea kwa watani zetu Wakenya!

Hivi hatuwezi kujitizama na kutizama umasikini na matatizo tulio nayo kama nchi badala ya makabila yetu?
 
inaonyesha huyu jamaa ni mtu wa kujidai sana ndo maana hata kubebwa na mtu kama huyu sitaki , wala hata kufahamiana nae , sijui anadhani watu wengine wanasomea nini!!!! na istoshe hiyo degree program yake anayoebda kuisomea ni ya kawaida sana pale COET ,,,, atuulize sisi kaka zake ,,, bora tu angekaa kimya
Degree programs zisizo za kawaida ni kama zipi?
 
ukabila bado upo ,, na hawa wahaya ndo wenyewe.... pale mlimani wamejazana kama uchafu ,,, kila depertment imejaa wahaya ,,,,, sehemu ambayo wameshindwa kupenya ni UDBS tu peke yake....
Mmmmhh!!! Nadhani wenye ukabila ni Unveristy Senate na Council wanaowajaza Wahaya pale. Hivi hivyo vyombo mmeishavichunguza? Bila shaka vimejaa Wahaya. Hapa naona wasomi hasara wasio hata na uwezo mdogo wa kuchambua mambo.
 
Katazeni na wale ndugu zenu wanaoishi kwakujiuza bukubuku huku mjini pia wanajenga vijumba vya udongo ikifika saa 12 jioni wanakaa mlangoni hebu anzeni huku mjini kule kigamboni ,pale uwanjani magenge ya juu,kule magomeni ,kule mwananyamala ,wamezidi mpaka aibu yani wao wanajua kujiuza tutututu wasaidieni na hao pia.
Mteja mzuri. kila duka unalijua!!!
 
huu ni ukabila na ni u***...ingekua vip tungesaidiana vijana na sio wahaya...???
 
Moja ya Mikoa Maskini nchini ni KAGERA.
Kabila ambalo wengi wao wanaishi Nyumba ya Kupanga ni Wahaya.
Kabila lenye tabia chafu ni Wahaya.
Kabila linaloona misifa ni Wahaya.
Kabila Wanafiki ni Wahaya.

Katerero vipi?

Haya ni maoni yangu Kikatiba.ibara ya 18(1)coz nikiendelea ntapewa BAN bure.

are sure o na ww ndo unaandika 2 kufurahisha wa2
 
wahaya jamaa wana chuki na majungu balaa afu mademu wao wote ni malay... Afu vilevile isitoshe dingi yako kapigwa libwata ful kuosha vyombo na kufua nguo za mkewe kabla ya kwenda kazn

2shazoea maneno ya mahaters kama ww bt haya 2rudish nyuma
 
hey u did a gud thng endelea hvyo hvyo dnt let maneno ya wa2 kukuvunja moyo i suport u n 2takuwa pamoja kuinua wahaya wenzetu kwa wasiopendelea hili jambo wakajinyonge kwa mrenda!bt da moto continues NSHOMIRE ELIMU KWANZA.
 
Back
Top Bottom