Wahaya wote popote pale mlipo tuombeni radhi wana Mara na Kanda ya Ziwa wote haraka

Mapenzi yanauma sioni kitu cha ajabu Kwa alilolifanya
 
Kweli Ruge katudhalilisha sisi shemeji zake wa kusini na hasa Lindi na Mtwara. Mwanamume hawezi kumlilia mwanamke mpaka anafikia hatua anapenga makamasi eti nakufaaa, hahahaa mapenzi noma sana

Bora Wewe ni Shemeji yako Mkuu ila Sisi wenzio Watu wa Mkoa wote wa Mara ( Musoma ) hawa akina Ruge Mutahaba ni Wajomba na Shagazi zao hivyo ' ametuaibisha ' sana na tunawataka Wahaya wote watupe Ng'ombe zetu hao Saba na watutafutie Pombe yetu ile ya Gongo / Brandi ndipo yataisha na tutawasamehe vinginevyo GENTAMYCINE ' siwaachi ' ng'o!
 
Atakuwa ni mtamu sana yule bibie, kafundwa haswaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi huyo Ruge bado alikuwa hajaoa mpaka anaanza kulialia kiasi hicho!!!

mwanaume unaazaje kulia!!!!!

Mkuu lakini usisahau kuwa kuna Mbunye ' maandazi ' na Mbunye ' chocolate ' hivyo kuna uwezekano Mbunye ya ' Skeleton ' ina ladha ya ' Chocolate ' na ndiyo maana umeweza kuona hadi Mr. Fursa alikuwa anaipengea ' Kamasi ' katika Simu hapo kama ulivyomsikia.
 
Ila kweli katuharibia kabisa CV hatuliliagi Papuchi sisi hawa watani wetu cjui vipi?Ila yule bi mdada si mtu wa Tanga kule si ndiyo yalipozaliwa ........

Kweli Mkuu na huwezi amini yaani sasa hivi badala ya ' Kuchekwa ' Ruge na Wahaya wenzie sasa katika hilo ' sakata ' lake lote tumehusishwa Sisi wana Kanda ya Ziwa wote wakati kiukweli Mimi kama Mimi GENTAMYCINE kutoka Kabila la Wazanaki ndiyo mara nyingi sana nimekuwa ' nikililiwa ' sana na Wasichana na Wanawake na wapo hadi ambao wameshatangulia mbele za haki kwa ' Kuulilia ' tu Mkuyenge wangu kwa kupata ' Presha ' na sasa namshangaa mno huyu Mtani wangu Ruge Mutahaba yaani kweli pamoja na ' Uhendisamu Boi ' wake wote ule + Mtonyo + Fursa bado tu anadiriki ' kuililia ' Mbunye tena ya Skeleton?
 
Mapenzi yanauma bwanaaaa hakuna cha Mhaya wala nini.... wengi tu wanaliaga sema hawajawahi kurekodiwa

Ila siyo hadi kwa Kupenga Kamasi kule kwa Ruge Mutahaba. Halafu nimeshakustukia kumbe na Wewe ni Mhaya. Haya ndiyo mmetufanyia nini hivi Sisi Watani zenu wana Mkoa wa Mara na wana Kanda ya Ziwa wote?
 
Jamani sio mnaponda Mwanamke na familia yake ndio waliokua na matatizo we watu wanowatoto wawili wanaangalia tuuh

Umefikiwa wakit wakuolewa et mwanaume abdilshe din we ngekubali ba Ruge angekubali story zingekuwa nyingine tena sio bure atakua kalogwa yule
Kaisalit din yake sababu mwanaume kubadil din sababu ya Mwanamke Sio kawaida hapa kwetu
 
Wahaya tunaonewa na huyu Mnyarwanda

Yaani leo mtanikoma. Mkitaka ninyamaze wekeni hao Ng'ombe Saba na hiyo Pombe ya Gongo / Brandi nitanyamaza la sivyo leo mtanibeba ' Mzanaki ' Mimi humu Jamvini hakyanani!
 
Kweli Mura..... habhanto bhano mbakangi haswaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…