GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
He! hii ngoma imepata mchezaji
Na leo siwaachi hawa ' Watani ' zangu kwani ' wametutibua ' sana Wanamume wa Shoka wote wa Kanda ya Ziwa. Utaliliaje ' Mbunye ' bhana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He! hii ngoma imepata mchezaji
Tabia ya Kupendapenda Mbunye haijawahi kumuacha mtu salama
Asante kwa masahihisho,Mmanyema yule wanasifika kwa kupuliza, bibi zao walijengewa majumba kariakoo
Kweli Ruge katudhalilisha sisi shemeji zake wa kusini na hasa Lindi na Mtwara. Mwanamume hawezi kumlilia mwanamke mpaka anafikia hatua anapenga makamasi eti nakufaaa, hahahaa mapenzi noma sana
Hivi huyo Ruge bado alikuwa hajaoa mpaka anaanza kulialia kiasi hicho!!!
mwanaume unaazaje kulia!!!!!
Ila kweli katuharibia kabisa CV hatuliliagi Papuchi sisi hawa watani wetu cjui vipi?Ila yule bi mdada si mtu wa Tanga kule si ndiyo yalipozaliwa ........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio hivyo wanalilia ina utamu adimu na uliotukuka labdaNdiyo hadi uililie Mkuu?
Mapenzi yanauma bwanaaaa hakuna cha Mhaya wala nini.... wengi tu wanaliaga sema hawajawahi kurekodiwa
Mtoto wa Kitanga yule hata ingekuwa wewe ungelia tu...
jiweke kwa rugeha haha haaa kaka ruge alijua bidada hana oakwenda hasa akijua kasha mzalisha
Wahaya tunaonewa na huyu Mnyarwanda
yule kaka hapana maswala yakunipa katorero naweza zubaajiweke kwa ruge
Kweli Mura..... habhanto bhano mbakangi haswaaa...
Hivi humu ' Jamvini ' hakuna Wahaya? Jamani wahaya hebu jitokezi upesi mjibu kwani leo nipo na nyie na ' mtanikoma ' hakyanani humu. Yaani kabisa Mwanamume wa Kanda ya Ziwa tena Watani kabisa unalilia Mbunye ya Skeleton kweli? Hivi mliambiwa Musoma hakuna Wanawake?
Leo nina nyie!