Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huna cha Uzanani wala nini, wewe ni mkimbizi mwamihaji haramuYaani leo mtanikoma. Mkitaka ninyamaze wekeni hao Ng'ombe Saba na hiyo Pombe ya Gongo / Brandi nitanyamaza la sivyo leo mtanibeba ' Mzanaki ' Mimi humu Jamvini hakyanani!
nasikia anabembeleza balaayule kaka hapana maswala yakunipa katorero naweza zubaa
wahiii me siwezi aje anipe mavitu makubwa makubwa ila mabembelezo akafe nayo hukonasikia anabembeleza balaa
nasikia anabembeleza balaa
Labda tukupe mji maana ng'ombe waliswagwa na wajeda. Tunakupa Kinesi kwao mama Maria chukua.Yaani leo mtanikoma. Mkitaka ninyamaze wekeni hao Ng'ombe Saba na hiyo Pombe ya Gongo / Brandi nitanyamaza la sivyo leo mtanibeba ' Mzanaki ' Mimi humu Jamvini hakyanani!
zama ni mmanyema kwa baba na mnyarwanda kwa mamaIla kweli katuharibia kabisa CV hatuliliagi Papuchi sisi hawa watani wetu cjui vipi?Ila yule bi mdada si mtu wa Tanga kule si ndiyo yalipozaliwa ........
Tena na awalipe haraka. Kama namuona McConder miguu juu ya meza ofisini na erphone kubwa, anacheeeeka.Kwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.
Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.
Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?
Watani zangu bhana!!!!!!!
toto la kimanyema hilo na lina mixer ya kitusi sio mchezoMtoto wa kitanga kamtoa machozi Mhaya.
Hongera zenu wanawake wa Kitanga ile rekodi yenu badonaishikilia
Sisi watu wa wa mkoa wa kigoma tumeshangazwa na mtoto wetu huyo !!! Sisi hapa watoto ambao hata kushika jembe na kwenda shamba kama atafilisika bado analia lia nini sasa kweli anastahi kutulipa faini alete Senene kilo hamsini na pombe ya ndizi (Kayoga)kama hela sisi TunazoKwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.
Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.
Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?
Watani zangu bhana!!!!!!!
Wote wanyarwanda hao,tatizo hawaendi jando,Zama kakutana na mmakonde kwa nini asimwache kibamia Ruge ?Wahaya tunaonewa na huyu Mnyarwanda