GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #121
Mpiga disco ni Malaya tu. Kazi kuaribu watoto watu. THT ndio danguro lake
hahaha hakika mkuuNadhani hakuna Mtu humu JF anayezidi kwa kupenda sana ' Kuwatania ' Watani zangu wakubwa kwani kiukweli huwa ninawapenda mno na hata wenyewe wanajua. Kwa faida yako tu na kwa wengine pia ni kwamba Watani wakubwa wa Watu wa Mkoa wa Mara ni Wahaya wa Mkoani Kagera, Waha wa Mkoani Kigoma. Wanyiramba na Wanyaturu wa Mkoani Singida na Warangi wa Mkoani Dodoma.
Na usisahau kwamba hata JF Founder Maxence Mubyazi Melo nae pia ni Mhaya halisi hivyo hata Yeye pia hili ' dongo ' langu kwa Mhaya mwenzake Ruge Mutahaba nae linamuhusu na pengine Ruge anaweza akazungumza nae ili waniandalie hao Ng'ombe zangu Saba na hiyo Pombe ya Gongo / Brandi kususi Sisi Watani zao ( Wajomba na Mashangazi ) vinginevyo tutakachofanya sasa itakuwa ni zaidi ya Mv Bukoba, Ugonjwa wa Dally Kimoko na hili Tetemeko la Ardhi la hivi majuzi tu.
Huwez jua alichokua anapewaKwa Kitendo cha kutudhalilisha Sisi wana Kanda ya Ziwa wote na hasa hasa Sisi Wajomba na Shangazi zenu ( Watani ) Watu wa Mkoa wa Mara ( yakijumuishwa ) Makabila yote yapatikanayo katika huo Mkoa tunawaomba upesi kama siyo haraka sana Wahaya wote popote pale mlipo mtuombe radhi na Mheshimiwa Ruge Mutahaba atuandalie Ng'ombe kama Saba ( 7 ) na Pombe yetu ile ya Kienyeji Watu wa Mara ya Brandi / Gongo ili tumsamehe kwa Kosa kubwa la Kumlilia Zamaradi Mketema wakati huku Mkoani Mara kuna Wasichana / Wanawake Warembo kumzidi huyo aliyekuwa anamlilia.
Sasa ole wenu Wahaya wote na Wana Mkoa wa Kagera msiandae hiyo faini tunayoitaka kwani tutawalaani vibaya na mtakumbwa na makubwa zaidi ya Mv Bukoba na Tetemeko la Ardhi ndipo mtajua kuwa Sisi Wajomba na Shangazi zenu Kitendo hiki cha Ruge Mutahaba kulilia ' Mbunye ' kimetuudhi na kutusikitisha sana Sisi wana Mkoa wa Mara.
Hivi Watani zangu Wahaya siku hizi ' mmerogwa ' na nini? Kwanini mnakuwa ' legelege ' hivi? Hivi Ruge alinitafuta Mimi GENTAMYCINE labda hata nimtafutie Dada yangu au Mwanamke wa Kikurya au Kijita au Kijaluo au wa kwetu kule Uzanakini nikashindwa hadi aanze kututia ' aibu ' wana Kanda ya Ziwa kwa kulia lia?
Watani zangu bhana!!!!!!!
Kwa hili mtani Rubisi utapewa ,mwanaume, tena wa Kihaya kulialia mwiko, mimi binafsi nakuletea Rubisi na Embandule a.k.a gongo ili mwanetu tukuondolee laana ya kumuona babu yako akilia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wote wanyarwanda hao,tatizo hawaendi jando,Zama kakutana na mmakonde kwa nini asimwache kibamia Ruge ?