GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #121
Mpiga disco ni Malaya tu. Kazi kuaribu watoto watu. THT ndio danguro lake
Ila hapa tuache na tusiwe ' Wanafiki ' kwani ukweli ni kwamba hakuna Mwanaume asiyekuwa Malaya na ukiona Mwanaume siyo Malaya jua hana ' mtonyo / hela '. Katika suala la Umalaya wala simlaumu ' Mtani ' wangu wa Kihaya Ruge Mutahaba bali concern yangu ni kwanini amelilia ' Mbunye ' hadi ' makamasi ' yakamtoka vile?