Wahehe: Uwene Waulige sefu

Wahehe: Uwene Waulige sefu

Tuwuyape iligulupu ilya whatsapp nyenye
 
wakuu Kamwene,
Muheshimiwa Mtwa mkulu, silasuga mahinyila, ndugu jamaa na wahehe wote mlioko JF
KAMWENE!
Nawaulizeni wandugu. Hivi kwanini iringa wali mnautambua kwa jina hilo?
Ulimfanya nini SEFU? Sefu alikuwaga ni nani?
KARIBUNI kumgati
Kamwene mnyalukolo!
Nawapenda wahehe maana huwaga hawana unafiki!
Ukiwaudhi wanakutandika, halafu wenyewe ndo wanaripoti polisi!
 
hiyo ilitokea maeneo ya ipogolo miaka ya 90,kulikuwa na harusi ya bwana mmoja mwenye uwezo wa pesa(ni ilomo kama sijakosea)huyo sefu alifakamia ubwabwa na nyama hatimae ukamkaba na kumpotezea maisha!!!ndio ukawa mwanzo wa neno waulige Sefu.anaejua zaidi atujuze!
Mtani hata wewe muhehe unaanza kutuonngopea kuhusu hii lugha yako? Hiyo hadithi uloweka hapa ni ya utani kutoka siye watani zenu wa makabila mengine. Muulize Gwalihenzi Ulimnofu veve?
 
+255788322596
Muzake kwa inamba iyo neke ndiyupe iligroup ilya vahehe. Alafu ilitawa mundongelage mwisaka litambulwe ndauli.
 
vaulige sefuuu hahahaaa😂😁😀😂😁😀 daaa ndisusilwe kukaye nene ndimunya @#kukihesa
 
Sasa ikiwa mnataka niunde group hebu muisave hiyo Namba yangu kwenye simu yenu na mnitumie niweze kuunda group. Hata hivyo msipige maana network huku niliko sio nzuri. Nipo uganda. Naamini mtatuma ili tuweze kujadili mambo mengi yahusuyo mkoa wetu.
Kisiasa.
Kiuchumi.
Kijamii.
Kielimu.
Na mengineyo.
Nitaliunda nikipata Namba zenu.
Utume ujumbe mfupi kwa whatsapp Sema. Add me
 
Back
Top Bottom