Wahehe: Uwene Waulige sefu

Wahehe: Uwene Waulige sefu

Kabinti ka ludilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
409
Reaction score
468
wakuu Kamwene,
Muheshimiwa Mtwa mkulu, silasuga mahinyila, ndugu jamaa na wahehe wote mlioko JF
KAMWENE!
Nawaulizeni wandugu. Hivi kwanini iringa wali mnautambua kwa jina hilo?
Ulimfanya nini SEFU? Sefu alikuwaga ni nani?
KARIBUNI kumgati
Wakuu tangazo kutoka kwa Mtwa Mkulu. Kani PM anasema
" watu wangu wa taifa la unyalu. Ndugu LUTEMI member wa JF atakuwa admin wa group la wahehe Watsup. Muinbox Watsup kwa simu nambali. +255788322596. " mve na kigono kinofu!
 
wakuu Kamwene,
Muheshimiwa Mtwa mkulu, silasuga mahinyila, ndugu jamaa na wahehe wote mlioko JF
KAMWENE!
Nawaulizeni wandugu. Hivi kwanini iringa wali mnautambua kwa jina hilo?
Ulimfanya nini SEFU? Sefu alikuwaga ni nani?
KARIBUNI kumgati

kamwene mwa gito ve u mwa nani?
 
Hiyo ni misemo tu baada ya ulanzi...

Pede veve u mnyakwiya?
 
hiyo ilitokea maeneo ya ipogolo miaka ya 90,kulikuwa na harusi ya bwana mmoja mwenye uwezo wa pesa(ni ilomo kama sijakosea)huyo sefu alifakamia ubwabwa na nyama hatimae ukamkaba na kumpotezea maisha!!!ndio ukawa mwanzo wa neno waulige Sefu.anaejua zaidi atujuze!
 
wakuu Kamwene,
Muheshimiwa Mtwa mkulu, silasuga mahinyila, ndugu jamaa na wahehe wote mlioko JF
KAMWENE!
Nawaulizeni wandugu. Hivi kwanini iringa wali mnautambua kwa jina hilo?
Ulimfanya nini SEFU? Sefu alikuwaga ni nani?
KARIBUNI kumgati

uludilo ulusele?
 
Muku nyesa nyele!!
Twipela na namba sa simu!
 
Sefu alienda kwenye harusi moja kule Iringa. Kulikua na ubwabwa na nyama ya kutosha. Sefu alifakamia ile mbaya. Inasemekana mpaka alishindwa kunyanyuka na kutembea. Kuna muda ambapo punje za mchele na vipande vya nyama zikaanza kumtoka kwenye matundu yake mbalimbali! Utumbo ulikua umepasuka. Sefu alikufa muda mfupi baadae. Wahehe wakaupa jina walinyama au wali kiujumla-Gwaulige Sefu!
 
Back
Top Bottom