Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.

Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa.

Nini kimepelekea hali hii?
Walijisahau sanaa😅
 
Sasa HIVI ndio vinara WA ukatili WA kijinsia(ubakaji,ulawiti) kwa mujibu WA ripoti
 
Nataka kujua asili ya ufupi ya watu wa huko...nje ya mada lakn
 
Yupo Chalamila ila mara nyingi mdomo wake hufanya kazi kabla ya akili.

Mwengine yule DC mdomo ulimponza ...alimwambia mwananchi hadharanj "tuliza mata**"
yule wa tuliza mat**ko ni mnyakyusa usitusingizie sisi wala mbwa kwenye baraza hawapo kwenye unaibu yupo kigahe viwanda kutoka mufindi kaskazini,david kihenzile naibu uchukuzi wa mufindi kusini
 
Wanyalu bwana [emoji16]. Kiburi , jeuri , Ni asili ya mhehe.
Ni kabila lenye kuamini utu,heshima na kujitegemea.
Usiri ndio silaha ya maisha ya mnyalukolo popote atakapokua anaishi. Wengi sio wazungumzaji Bali Ni watendaji.
Sualaa la kubebana bebana [emoji16] sahau , Ni wazee pia wa mbonekee (Fanya nionekane,wanione) . Wana maamuzi magumu Sanaa , Liwalo na liwe. Ukisikia mhehee anasemaa, Yeeeeeh akhiiiiii. Jua imeisha hiyo (Kabaki mwili tu , nafsi kauza[emoji23])
 
K
Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.

Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa.

Nini kimepelekea hali hii?
Kwa Tanzania, mbali na Mkwawa wa Wahehe, walikuwepo mashujaa wengine kama Mtemi Milambo wa Unyamwezini na wengi tu wa Kichaga. Misafara ya watumwa kutokea Kongo ilikuwa haipiti Tabora bila Mwarabu kutoa 'çho chote' kwa Mtemi Milambo. Hilo ndilo likawa chimbuko la neno 'hongo' katika Kiswahili. Afrika Kusini alikuwepo Shaka wa Wazulu. Marehemu Mangosuthu Buthelezi aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu alikuwa mrithi wa utawala huo.
Nje ya Afrika kulikuwa na ufalme wa Uingereza ambao ilikuwa hakuna jua kutua katika himaya yake. Wakati ni usiku upande huu wa himaya, kule kwingine ni mchana; ili mradi basi kila wakati jua linawaka sehemu fulani ya himaya.
Nyuma zaidi kulikuwa na himaya ya Kirumi ambayo kwa wakati huo hakuna mtu aliyeweza kudhania kwamba siku moja himaya hiyo itasambaratika. Hivi sasa kuna wababe kama Marekani ambao wanadhania wao ndio wao wanaoutawala ulimwengu.
Hivyo ndivyo ulivyo ulimwengu. kila kitu ni cha mpito tu. Hakuna cha kudumu milele.
 
wajomba zangu hao, na ndio wanadamu Tanzania walioleta heshima dhidi ya wajerumani. kwa Tanzania hii ni kabila gani lingine lilichinja wajerumani zaidi ya 300 mkupuo bila kutumia bunduki na mzungu ana bunduki? hadi leo tungekuwa chini ya mjerumani kama mhehe asingefanya yake.
 
Back
Top Bottom