Walijisahau sanaa😅Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.
Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa.
Nini kimepelekea hali hii?
Sisi kula ngubi imekuwa nongwa,aliyesema ngubi ni ya wachaga pekee ni nani??[emoji38][emoji38][emoji38]Ni pale walipoacha ulaji wa mbwa na kuhamia kwenye kitimoto
wachaga wala mee 🐐Sisi kula ngubi imekuwa nongwa,aliyesema ngubi ni ya wachaga pekee ni nani??[emoji38][emoji38][emoji38]
UmeuaRafiki mkubwa wa binadamu ni Mbwa.
yule wa tuliza mat**ko ni mnyakyusa usitusingizie sisi wala mbwa kwenye baraza hawapo kwenye unaibu yupo kigahe viwanda kutoka mufindi kaskazini,david kihenzile naibu uchukuzi wa mufindi kusiniYupo Chalamila ila mara nyingi mdomo wake hufanya kazi kabla ya akili.
Mwengine yule DC mdomo ulimponza ...alimwambia mwananchi hadharanj "tuliza mata**"
Kwa Tanzania, mbali na Mkwawa wa Wahehe, walikuwepo mashujaa wengine kama Mtemi Milambo wa Unyamwezini na wengi tu wa Kichaga. Misafara ya watumwa kutokea Kongo ilikuwa haipiti Tabora bila Mwarabu kutoa 'çho chote' kwa Mtemi Milambo. Hilo ndilo likawa chimbuko la neno 'hongo' katika Kiswahili. Afrika Kusini alikuwepo Shaka wa Wazulu. Marehemu Mangosuthu Buthelezi aliyefariki mwanzoni mwa mwezi huu alikuwa mrithi wa utawala huo.Ni moja ya kabila lililowahi kuwa na influence serikalini, jeshini, elimu, vyeo vizito, n.k.
Kwa sasa ile glory ya wahehe imeporomoka sana, limekuwa kabila la kawaida sana, kilichibaki kuwatambulisha labda historia ya Mkwawa.
Nini kimepelekea hali hii?
UKO SAHIHI...SINGIDA NAYO IMESAHAULIKA BIFU LA NYERERE NA MTEMI SENGE..Bifu la Dkt. Kleruu VS Mwamwindi.
Lililo pelekea Nyerere kuiweka Iringa kwenye "ignore list"