Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie na wahenga wapi wa kupambana na Hali zao?Mkuu kwani we hupendi kupambana na hali yako?
Umeuwa Mzee,wape hao team kiepe yai.Ishu ni kwamba wanaopapambana na Hali zao ni akina nani?
Wahenga tulivaa Nguo za viraka kwa kuhofia kuonekana sehem za mwili hasa makalio na.mapaja.
Leo hii wahenga wapya we kuja na staili yao hata ikichanika makalioni haoshonwi mbaya zaidi wanabanwa Adi hawawez kutembea wakat sisi tilijimwaga na charanga na suruali kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
SafiiNyie na wahenga wapi wa kupambana na Hali zao?
Wahenga hatuna watt wa kusomesha tena, hatuna madisco ya kwenda ten, hatuna kutongoza/ngozwa tena, hatuna kuzaa tena.
Stress free life na tumebaki tunaimba mapambio kanisani kumshukuru Mungu kwa uzee.
Hofu kwenu Sasa ambao umri wetu kuufikia mjipange sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] ..Kuku na mayai ya kienyeji... Unapenda sana... Kaone kwanza...
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] ..Kuku na mayai ya kienyeji... Unapenda sana... Kaone kwanza...