Wahenga mkisamehe bure hiki kizazi cha cha chips yai

Siku hizi kuna misemo mingi sana... Na mingi siyo ya kuelemisha ni ya kichochezi kejeli na kubezana...

Old is gold...

Cc: mahondaw
 
Ishu ni kwamba wanaopapambana na Hali zao ni akina nani?

Wahenga tulivaa Nguo za viraka kwa kuhofia kuonekana sehem za mwili hasa makalio na.mapaja.

Leo hii wahenga wapya we kuja na staili yao hata ikichanika makalioni haoshonwi mbaya zaidi wanabanwa Adi hawawez kutembea wakat sisi tilijimwaga na charanga na suruali kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani we hupendi kupambana na hali yako?
Nyie na wahenga wapi wa kupambana na Hali zao?

Wahenga hatuna watt wa kusomesha tena, hatuna madisco ya kwenda ten, hatuna kutongoza/ngozwa tena, hatuna kuzaa tena.

Stress free life na tumebaki tunaimba mapambio kanisani kumshukuru Mungu kwa uzee.

Hofu kwenu Sasa ambao umri wetu kuufikia mjipange sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu ni kwamba wanaopapambana na Hali zao ni akina nani?

Wahenga tulivaa Nguo za viraka kwa kuhofia kuonekana sehem za mwili hasa makalio na.mapaja.

Leo hii wahenga wapya we kuja na staili yao hata ikichanika makalioni haoshonwi mbaya zaidi wanabanwa Adi hawawez kutembea wakat sisi tilijimwaga na charanga na suruali kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuwa Mzee,wape hao team kiepe yai.
 
Nyie na wahenga wapi wa kupambana na Hali zao?

Wahenga hatuna watt wa kusomesha tena, hatuna madisco ya kwenda ten, hatuna kutongoza/ngozwa tena, hatuna kuzaa tena.

Stress free life na tumebaki tunaimba mapambio kanisani kumshukuru Mungu kwa uzee.

Hofu kwenu Sasa ambao umri wetu kuufikia mjipange sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Safii
 
Kuku na mayai ya kienyeji... Unapenda sana... Kaone kwanza...
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] ..

Haaa chezea kuku wawili mi nakula robo tu moja robotatu pekeako Smart911 my king lol! Wee mbbayaaaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji87]

Safi sana.
 
Mleta mada usizunguke sana, we pambana na hali yako achana na hali za wenzio walioko dar

Nje ya hapo utapimwa mkojo
 
Alie anzisha Msemo wa 'Pambana na Hali yako' ni YoungKiller toka Mwanza. Sema wa Dar wanautumia sana.

sent by Samson Cyper
 
😀 😀 😀 et robo tu
 
Mleta mada usizunguke sana, we pambana na hali yako achana na hali za wenzio walioko dar

Nje ya hapo utapimwa mkojo
Aisee mkojo tena,mkojo wangu hamuupati ng'o 😀 😀 😀 😀
 
Alie anzisha Msemo wa 'Pambana na Hali yako' ni YoungKiller toka Mwanza. Sema wa Dar wanautumia sana.

sent by Samson Cyper
Hata young killer ni wa dar,kisha kimbia mwanza,so nae ni team kiepe yai+Broiller
 
Back
Top Bottom