Wahenga, mnakumbuka bidhaa za National Milling Cooperation?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1637021991445.png
 
Kipindi nchi imepoteza uelekeo ,awamu ya kwanza hiyo!ila end of the day kila mtu alikua na furaha na kuzungukwa na wapendwa wake!hakuna aliyepotea wala kuuliwa pamoja na challenges hizi!welldone Msondo ngoma na Sikinde burudani iliendelea vema
 
Ni kwasababu hakukua na social media, habari hazikusambaa. Unafahamu yaliyowatokea ndugu zake Oscar Kambona baada ya kaka yao kukimbilia Uingereza?

Yaliyowatokea ukoo wa Hans Pope baada ya lile jaribio kushindwa.

Ninaomba niishie hapa.
 
Enzi zile tulikuwa gizani... anyway taifa letu limetoka mbali na limepitia mengi, tusiache kumuomba Mungu ailinde nchi yetu.
 
Sky Eclat ,

..NMC ilikuwa mali ya familia ya kina Andy Chande.

..mali zao zilitaifishwa ndio kukaanzishwa shirika la usagishaji la taifa.

..shirika lilitafunwa na wazawa walioteuliwa kuliendesha mpaka pale serikali ilipoamua kulibinafsisha.
 
Ule utaifishaji wa Nyerere ulikuwa ni sawa na uporaji/unyang'anyi ndio maana mashirika mengi yalikufa sababu ya dhambi hiyo.
 
Ni kwasababu hakukua na social media, habari hazikusambaa. Unafahamu yaliyowatokea ndugu zake Oscar Kambona baada ya kaka yao kukimbilia Uingereza?

Yaliyowatokea ukoo wa Hans Pope baada ya lile jaribio kushindwa.

Ninaomba niishie hapa.
Nimekuelewa ILA hakuna damu iliyomwagika kutokana na yote hayo uliyoyasema,hakuna kitu kibaya kama your loved one or breadwinner anapokua anaondolewa kutoka kwenye family yake kikatili,Mr.Kambona mwenyewe alirudi na amezikwa na ndugu zake,Mr.Hanspope alirudi uraiani na kuishi na wapendwa wake hadi kifo kilipomwita na alipata second chance ya kuishi kikawaida,but awamu ya mwendazake vile viroba vya maiti pale COCO beach zilikua ni za akina nani?Azory?na mbaya zaidi our own Saanane tumeshamsahau!so sad na hatukumbuki kabisa family yake wapo vipi.
 
Huo mkate wa Siha Ulikuwa unatengenezwa wilaya ya Sina kwa mbowe au ?

Chadema Sasa hivi wangekuwa wanaula Sana kwa kulazimishwa na Mbowe

Kuwa kila mwanachadema lazima aule
Njia nyingine ya kupima akili ya mtu ni kwa jinsi anavyofananisha au kuonisha vitu...
 
Back
Top Bottom