Wahenga, mnauzungumziaje wali enzi zake?

Wahenga, mnauzungumziaje wali enzi zake?

Ukoko wa juu ulikuwa mtamu balaa, mnaanza nao kupasha kabla ya mechi. Ila kuna watu walikuwaga hata hawatafuni aisee.
 
Wali Kisamvu kilicholala. Pembeni kuna mbilimbi. (RIP Bi mkubwa) na pilipili mbuzi.
 
Penda sana wali, hadi leo. Unaweza pita mwezi sijala ugali.
 
Back
Top Bottom