Wahenga mpooooo

Sasa mlikuwa mnatakata yawe makubwa myafanyie nn au ili mnipe niyanyonye[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hiviiiii, jaman jaman
usijeniambia na yule wangu aweza kuwa na mutu ingine humu
sitaki kufa mie
Kuchunga mzigo wako kazi sana. Utashangaa watu wanaitana beb beb kumbe zinaendelea mpaka kitandani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hahaaa. Dada umenikumbusha mbali mie nawakumbuka sana. Wanakaa pembeni mwa nyumba na walivyo na maajabu huwa wanatoka eti pale unapofukua fukua.

Ila siku hizi hayapo haya.
Pembeni ya nyumba kwa chini hivi unakutana na vishimo siku hizi hakuna hizi mambo kabisa dada akee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…