Wahenga mpooooo

Wahenga mpooooo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli[emoji23] kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe

Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
Utoto raha Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Fukufuku toka nitakupa wali aisee unaona huyo mdudu anatokea kwenye udongo
 
Kicheko kiwe kinaambatana na vipicha vya namna yalivyokuzwa.
Hiyo hapo jamaan
7efb96a3a921cee44b400a9d14732f5f.jpg
 
Hakuna kabisa yaani. Na hivyo vishimo ukivifukua lazima hicho kimdudu kiwepo.
Ahahahhh kisipotokea tunapiga na mikono pembeni ya kijumba chake utoto bwana
 
Hahaha... ulishaangali The dictator?

Kuna mmama ni mlinzi wa Gen. Aladin anapiga watu na maziwa hadi wanazimia...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom