jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
haaaaa acha ninyamazemo mieWe tulia mama tuna makubaliano ya kutunza mila mie na ndugu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haaaaa acha ninyamazemo mieWe tulia mama tuna makubaliano ya kutunza mila mie na ndugu yangu
Utoto raha Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] tupoooooo
Wapo wale wengine wanakaa kwenye maji,mtoni au ziwani vinang'ata kweli[emoji23] kakishakung'ata kachuchu kanavimba unajipa moyo manyonyo yanakua makubwa kumbe uvimbe
Watoto wa siku hizi hawajui hizi mana wanashinda kwenye shule zao za English medium wakitoka jion wanaungia kwenye mageti yao hawakutani na fukufuku
Ha haha gademuAhahhah naikumbuka kuna mdada kaikumbusha hapo hivi na ile ukiona albino unajitemea mate kifuani eti ukikua usije kuzaa na wewe
Unavyoongea utafikiri sio mchoyo kweliHalaf kumnyimba mtu kitu unacho dhambi akupe tu
Hahaha... ulishaangali The dictator?Hiyo hapo jamaan![]()
Yes Shunie! Inaumuka. Utoto wa Africa akili nyingi.Kumbe mpaka wanaume mlikuwa mnafanya huko kwenye naniliu