Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]He he ebu weka picha
Nakusalimiaa jamaniSitakiii baki nayo mwenyewe
Bila kusahau NYANGE NYANGE NIPE KUCHA NYEUPEEEEEE!!Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()
Hahahaha huu nimeukumbuka ....mkienda porini wadada ndo walikua wanaongoza msafara wanapepea mikonoo juu mpaka bhasiBila kusahau NYANGE NYANGE NIPE KUCHA NYEUPEEEEEE!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naenda kukutafutia pichaEbu rudi unaenda wapi sasa
[emoji23] [emoji23]Ewaaaa lete picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fuku fuku toka mama yako kajaaa
Fuku fuku toka mama yako kajaaa
Kwann hujanitag[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]saiv manyonyo yamekuwa makubwa kusimama mpaka upige deki
Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu nikitoka tu nakuta wamefukua naanza sasa fuku fuku fukua [emoji3][emoji3][emoji3] akitokea namuweka kwenye chuchu jaman utoto raha kifua cheupee hakina nyonyo eti maziwa yawe makubwa ila wakishua sijui kama mnawajua hao wadudu
![]()
[emoji3][emoji3][emoji3] fukufuku alifanya yake na dushe limekuwaHuyu mshikaji (fukufuku) nilikuwaga nalala nae chupini usiku mzima. Nilikuwa namuweka kwenye duduwasha langu ili likuwe kubwa kama muhogo, kuna jamaa mtaani alituambiaga eti ukijichanja kwenye dushe unamuweka huyu mshikaji ili alambe zile damu, akifanya vile ndo dushe linakuwa kubwa. Mpaka sasa sijajuwa ukubwa nilionao ni kwa ajili ya huyu mdudu au ndo baraka yangu.
Nipo naendelea kuwataza maana nakumbuka katika harakati za kuwatafutia hao fukufuku nahisi ujira wangu nitaupata sasa[emoji23]Umeshawatizama wahenga kk